Mbunge jimbo la Makambako

Mbunge jimbo la Makambako

Hata simjui anaitwa nani?
Kama nipo sahihi anamsema Mbunge Deo Kasanyanda Sanga maarufu kama "Jah People" Mbunge wa Jimbo la Makambako-Njombe

Sanga anashinda sababu ya pesa zake,ni mmoja kati ya wabunge wenye pesa nzuri ktk Bunge letu kwa biashara zake za kusafirisha bidhaa kwa malori yake na uuzaji wa vyakula hasa viazi na mahindi!Watz wanamkumbuka zaidi kwa kitendo chake cha kucheza Sindimba Bungeni siku Katiba ya Chenge ilipopita!

Mbunge Sanga hajui kusoma wala kuandika
 
anaishangaa katiba ya CCM inayomtaka mbunge ajue kusoma na kuandika tu.

mbowe mbona lipata zero form four na ni mbunge .... anatofauti gani na huyo
 
Hakuna wa kumlaumu maana waliomchagua nao hawajasoma tena wengine walipiga kura kwa kusaidiwa, kwa waliomchagua sidhani kama issue ya sheria na mikataba linawagusa sana wanataka maendeleo yao wao kama wao. Nchi yangu imesahau adilifu na maadili ya uongozi linabaki kuulizana una elimu gani?

elimu ya darasani si kigezo pekee cha uongozi uongoz ni kipaji juhudi na maarifa
 
Uwiiiiiiiiiiiiii!!! Nashangaa wengine wamo humu eti wanasapoti tuongozwe na mambumbumbu.........hata biblia inasema kipofu akiwaongoza vipofu wenzake wote wataishia shimoni. Usikute hawa wanaosapoti na wao ni std 7 ndomaa wanashadadia ujinga.
 
Natokea Makambako

kwa maendeleo anayo tufanyia huku hata awaje sisi tutampa huyu huyu! kuna majimbo kule watu wana madegree lakin hakuna maendeleo! Sasa kwa anacho tufanyia wana Makambako sisi tumeridhikaaaaaaaa! Anaye tuwakilisha ndo tumemtaka! Mambo ya sheria waachie wanasheria sisi kikubwa maendeleo!

pilipili Usio ila yakuwashia nini??
 
Maendeleo gani? anayokufanyia wakati Makambako maji ni shida as if tupo jangwani. Halafu bili ya maji mwisho wa mwezi unaambiwa ulipe kama kawaida mbunge wana ccm mwenyewe ni shahidi...
 
Kama nipo sahihi anamsema Mbunge Deo Kasanyanda Sanga maarufu kama "Jah People" Mbunge wa Jimbo la Makambako-Njombe

Sanga anashinda sababu ya pesa zake,ni mmoja kati ya wabunge wenye pesa nzuri ktk Bunge letu kwa biashara zake za kusafirisha bidhaa kwa malori yake na uuzaji wa vyakula hasa viazi na mahindi!Watz wanamkumbuka zaidi kwa kitendo chake cha kucheza Sindimba Bungeni siku Katiba ya Chenge ilipopita!

Mbunge Sanga hajui kusoma wala kuandika

Huyo ni mtu muhimu sana katika bunge letu. Kuna watu wan PhD tena za biashara lakini ukiwaambia waendeshe hata mgahawa tu wataufilisi. Yeye ataweza kuwakilisha mawazo ya wafanyabiashara wenzie.
 
kuwakilisha watu kunahitaji elimu ya ziada siyo elimu ya darasani mbona huoji profesa aliyepewa wizara ya ardhi akashindwa kutatua hata migogoro midogo kama unafikiri elimu ni kigezo cha kuchaguliwa ubunge nani amekuzuia kuongoza
 
Mbunge wetu anaitwa Deo Sanga aka Jah people.

Akiwa diwani, Jackson Makweta alikuwa mbunge.

J. Makweta kila mtu mwenye history ya elimu ya Tz atakuwa anamjua.

Wananchi wa makambako walihitaji mabadiriko hasa kero ya umeme wanamakambako wakatafuta mtu, mtu aliepatikana na mwenye sifa ya kuwapa maendeleo/ mabadiriko akawa ni Jah people.

Tuliijua elimu yake lakini tukaamua tumpe ubunge ili atutoe kwenye kero zilizokuwa zinatukabili.

Tulimwamini maana kazi ya udiwani tuliiona

Makambako hivi sasa ina gridi ya taifa, barabara zina lami nk.

He is good for us........
 
Natokea Makambako

kwa maendeleo anayo tufanyia huku hata awaje sisi tutampa huyu huyu! kuna majimbo kule watu wana madegree lakin hakuna maendeleo! Sasa kwa anacho tufanyia wana Makambako sisi tumeridhikaaaaaaaa! Anaye tuwakilisha ndo tumemtaka! Mambo ya sheria waachie wanasheria sisi kikubwa maendeleo!

pilipili Usio ila yakuwashia nini??

Tuliomchagua tunajua sababu ya kumchagua.
 
Nipo huku wandugu huyu jamaa ni Kihiyo wa kweli......lakini namsifu kafanikiwa kupenya kwa kuwalisha wananchi wali maharage...
 
Anaitwa jah people pinda anamwita mutu wa watu. amemaliza darasa la saba mwaka 2012 nadhani anampango wa kuendelea
 
Na sisi tunaomba kujua elimu yako. Kwani yule wa Ukawa angetungaje sheria na degree ya Food science?????
 
Back
Top Bottom