Natafuta shule ya temple nifundshe

Natafuta shule ya temple nifundshe

mwalimu kupata kazi ya temporary kwa sasa itakusumbua wengi wanataka mikataba kuazia miaka miwili..ivyo nakushaur km upo sehemu iliochangamka au km wilayani au miji midogo fungua tution centre tu tena kw masomo yako utapiga ela sana mtafute na mwezio wa history &geography mtapiga ela adi apo ajira ztakapotoka...na ivi likizo ndio kabisa.
 
Back
Top Bottom