Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,292
- 6,693
Haipiti wiki bila kuona vijana wa udom wakilalamika hapa jukwaani.kutakua na tatizo huko udom!dogo jaribu kukopa wenzio hapo chuo hata elf 30 zikusogeze kidogo.
wewe mwenyewe unasoma udom
Haipiti wiki bila kuona vijana wa udom wakilalamika hapa jukwaani.kutakua na tatizo huko udom!dogo jaribu kukopa wenzio hapo chuo hata elf 30 zikusogeze kidogo.
Jaman samahannnMimi ni kijana miaka 21 mwaka wa kwanza chuo kikuu dodoma nachukua masomo ya sayansi ya jamii
Siku zinazidi kusonga mpaka leo hii sijapata pesa ya matumizi wakati ulimwengu mzima unajua tumeneemeka.Nime sign mkopo toka tarehe 14 mpaka leo sijaona chochote katika account yangau
Naomba kuwauliza maswali ya msingi kama ifuatavyo bila kuvunja sheria
1: kwanini hamtupi pesa wakati imeishaidhinishwa tupate???
2: kwanini mna tupa ahadi fake mnasema pesa tuna weka week ijayo ikifika hakuna pesa mnatoa ahadi nyingine hamjui kama mnatuchanganya kisaikolojia???
3:kwanini mnagawa pesa kwa watu wachache na kuleta matabaka miongoni mwetu???
Naomba mlifanyie kazi bandiko langu,sina tena msaada mzee wangu ni mtu wa makamo nikimwambia bado sijapata pesa ananigombeza sana na kusema mbona mh raisi amewapa mkopo
mpaka sasa nimebakiwa na tsh 11000 sijui hatima yangu ni nini
Jaribuni kuwa waungwana bwana najua tukijitokeza kuwakumbusha mnachukua maamuzi magumu juu yetu,nina hasira sana
mwanafunz udom
Jaman samahannn
Pole sana mwanafunzi wa udom, lakin bora wewe umesain uhakika wa kupata upo ngd kunawatu tunakula mavi hapa udom na hatujuwi hatima yetu sembuse na wewe tena umesain, dogo unakibari cha kuchukuwa hela kwa mtu na akakuelewa, kwa kifupi kunawatu tunakula mavi na hatuna namna.
Udom nimesoma pale kweli pana tatizo kubwa sana ukisaini lazima zipite week tatu, nakumbuka tulipokuwa first year kuna kuna course fulani majina hayakuletwa chuoni daa tulisafa sana. Ila kwa kuwa umesha saini unaweza kuazima pesa kwa mtu aliyepata pesa, nina uhakika ulichelewa kufanya registration ndio maana hadi saizi hujapata pesa yako.watz kweli wapole, mimi nadhani ukiona haki inacheleweshwa ni vyema ukaidai kwa njia zinazoeleweka baasi!. kwa maisha ya chuo dawa ni kuandamana tu maana hakuna namna.