Tt4tat boy
Member
- Nov 26, 2015
- 45
- 11
- Thread starter
- #21
Ndo hivyo tumejaa hadi tunagawana topic. Mi nafikiria kushauri maafisa elimu kutugawia maeneo ya kufanya usafi shuleni kuliko kuchukua mishaara ya bure.
Hahahaaaaa mkuu umenichekesha sana daa kazi ipo