Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 838
- 496
Hivi hii ni haki wahitimu kukaa mwaka mzima mtaani? Hadi content zinapotea. Ni bora uwepo utaratibu wa kuwaajiri hawa walimu hata mwezi wa kwanza wa kila mwaka, walau wawe mtaani kwa miezi mitano. Inawatosha kuwapa nidhamu ya kukubali popote watakapopangiwa vituo vya kazi hata kama ni kijijini wataenda.