Recent content by mwananjoy kikio

  1. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya "L" na "R" kwenye kiswahili

    Haya matumiz ya L& R wanapotumia watangazaji huwa nakereka saana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

    Naona movie imefkia patam Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Rioba wa TBC ataka kupigana na Gerald Hando wa E-FM kwa kuambiwa TBC imemshinda

    Mbona ameambiwa ukwel?,hapa nina karibu miez 2 TBC haina saut wapo tu! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    wapendw kwema!, Leo saa 7 mchana nilikuwa nackilza DW nikasikia kuwa Serikali ya Tz Imewafukuzi nchin wafanyakazi wa Kampuni ya madini ya Acacia ...ila skuelewa vzuri .MWENYE taarifa sasa na za kina naomba anijuze jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Lissu na Zitto ni hii hapa

    Mmh mie simo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Am new here I need help

    Mm ni Mgeni hapa jamani hodii..naona sioni post mpya hapa nisaidien Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Lwenge amteua Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA kuchukua nafasi ya Mutalemwa

    Noted Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania Vs Elimu ya Kenya

    Hawana kitu nmewahi kufanya kaz na Dada mmoja kuto Kenya mbona alikuwa nipga bao hata ngel...nakumbuka kuna cku aliniulza ...ushirika maana yake ni nn kwa kiingereza? Ingawa yeye alikuwa meneja Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lissu: Nimeambiwa na 'Kubwa la Polisi' tujiandae Lowassa kupelekwa mahakamani kwa uchochezi

    Kila MTU ajililie nafs yake ...wanasiasa wanatafuta huruma tu kwa wananchi Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Nicholas Biwott to be Buried in a Gold Bullet Proof Coffin-To Protect Him from Enemies

    Duh ina maana kaburini nako kuna enemies? Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kairuki: Ubungo itapata watumishi wapya 397

    Mama namkubali yuko vzuri halafu huwa anaongea kwa utulivu saana Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

    Ni mwanasheria mzuri ila tatizo kuwasilisha jambo huwa anawasilisha kwa mrengo wa kisiasa zaidi kuegemea upande mmoja Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Mapigo Kumi ya Wamisri!

    Ok imekaa sawa Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba aivunja bodi ya Baraza la Taifa la Mazingira(NEMC)

    Alinyama saana huyu kijana Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Dr. Vincent Mashinji na Viongozi 8 wa CHADEMA Waachiliwa huru, Yadaiwa Walikamatwa kimakosa

    Hod humu ajaman mm mgen Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom