Lissu: Nimeambiwa na 'Kubwa la Polisi' tujiandae Lowassa kupelekwa mahakamani kwa uchochezi | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lissu: Nimeambiwa na 'Kubwa la Polisi' tujiandae Lowassa kupelekwa mahakamani kwa uchochezi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 17, 2017.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2017
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,057
  Likes Received: 5,926
  Trophy Points: 280  "Nimeambiwa leo na lipolisi kubwa kabisa kuwa jiandaeni Mhe. Lowassa atapelekwa mahakamani.... mtu pekee mwenye kinga dhidi ya mashtaka ya jinai ni JPM..."- Tundu Lissu
   
 2. john johns

  john johns Member

  #81
  Jul 18, 2017
  Joined: Feb 13, 2014
  Messages: 85
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 25
  Ndo ujue kwamba there is no eternal friend or enemy in politics.

  Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
   
 3. M

  Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member

  #82
  Jul 18, 2017
  Joined: Aug 2, 2016
  Messages: 6,220
  Likes Received: 2,745
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa ni kama mtoto mdogo ambaye anatafuta kupigwa makwenzi halafu aanze kulia eti ameonewa.
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #83
  Jul 18, 2017
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 13,377
  Likes Received: 828
  Trophy Points: 280

  bahati mbaya sana mwenye haki ya kuthibitisha hayo ni mlalamikaji na mahakama kuamua. vipi uoo tayari kutoa ushahidi dhidi ya lissu ?
   
 5. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #84
  Jul 18, 2017
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 13,377
  Likes Received: 828
  Trophy Points: 280
  ogezeko la kura tu hapo.
   
 6. j

  jicho sikio Member

  #85
  Jul 18, 2017
  Joined: May 12, 2017
  Messages: 26
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 5
  Jiwezeshe kutumia akili zako!! Nikikosi cha upotoshaji cha ccm ndicho kilichohadaa ulimwengu mzima na ikakubalika HIVYO. MBONA hadi Sasa hajafikishwa MAHAKAMANI. Like joka la makengeza ambalo limetiwa hatiani ulaya MNALIOGOPA!! Aibu kwenu

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 7. zee Don

  zee Don JF-Expert Member

  #86
  Jul 18, 2017
  Joined: Oct 31, 2016
  Messages: 409
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 80
  Mwemzako karibu aland uingereza kuuzuria kikao cha maraisi we subiri m PESA ya buku 7 tyu

  sent from my iPhone 6
   
 8. D

  Dudu Baya Member

  #87
  Jul 18, 2017
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 5
  Mbona wewe Lissu ulitwambia Watanzania kuwa Lowassa ni fisadi namba moja nchini? Tunakuaminije kwa hili sasa?

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 9. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #88
  Jul 18, 2017
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,341
  Likes Received: 3,165
  Trophy Points: 280
  Kwani amemtetea?
  Mi sijasikia akimtetea, ila amesisitiza umuhimu wa kuwa na katiba isiyohamasisha Rais wa nchi kuwa mhalifu kwa kuwa tu hawezi kufanywa lolote hata akiua watu kijinai...
   
 10. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #89
  Jul 18, 2017
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 22,260
  Likes Received: 17,901
  Trophy Points: 280
  Ujaribu kutumia akili kidogo. Huwa hufatilii jambo kwa undani unapapasa mambo juu juu na kujipa jibu. Kwa nini asimtetee Lowasa wakati ukweli ulishawekwa hadharani?
   
 11. Kifaurongo

  Kifaurongo JF-Expert Member

  #90
  Jul 18, 2017
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 2,289
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Ingalikuwa kidato cha pili C ungeambiwa "Fafanua" usemi huu!!!?
   
 12. nyanzara

  nyanzara JF-Expert Member

  #91
  Jul 18, 2017
  Joined: Jun 19, 2016
  Messages: 624
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 60
  Mhhhhh. Hakuna kumshinda

  Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
   
 13. nyanzara

  nyanzara JF-Expert Member

  #92
  Jul 18, 2017
  Joined: Jun 19, 2016
  Messages: 624
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 60
  Tutachoka ? Utachoka wewe, sisi hatumo usitusemee

  Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
   
 14. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #93
  Jul 18, 2017
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 6,556
  Likes Received: 821
  Trophy Points: 280
  Uchochezi tena na si ufisadi?, Uharibifu wa rasilimali zetu.
   
 15. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #94
  Jul 18, 2017
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,719
  Likes Received: 4,587
  Trophy Points: 280
  Hiyo inajulikana sana kuwa alikuwa anamtafutia sehemu ammalize kisiasa na visasi havitaisha nchi hii!!!!!!wakitoka awamu hii itakuwa mwendo visasi tuuu! Naomba uzima kwa kweli!! Nione maana najua JK na kundi lake hawana amani na furaha kwa kufanyiwa wanavyofanyiwa hivi!! Ampeleke mahakamani tu ila ajue ipo siku!!!!
   
 16. m

  mwananjoy kikio Member

  #95
  Jul 18, 2017
  Joined: Jul 17, 2017
  Messages: 16
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 5
  Kila MTU ajililie nafs yake ...wanasiasa wanatafuta huruma tu kwa wananchi

  Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
   
 17. i

  ibesa mau JF-Expert Member

  #96
  Jul 18, 2017
  Joined: Sep 17, 2015
  Messages: 1,417
  Likes Received: 831
  Trophy Points: 280
  Sasa hill jina ulilo lipeleka ikulu linafanya nini pale zaidi ya kuendeleza udini, ukabila, undugu na ukanda. Tulimtuma aende ikulu akafanye hayo.
   
 18. m

  mathias njau Member

  #97
  Jul 18, 2017
  Joined: Aug 1, 2016
  Messages: 84
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 25
  Yesu unayemtaja alishinda akila na kunywa na wahalifu wakabadilika wakawa Watu safi kabisa Lowasa kwa sasa ni mtu safi kama Zakayo ambaye Yesu alishinda kwake
   
 19. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #98
  Jul 18, 2017
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,408
  Likes Received: 3,868
  Trophy Points: 280
  Lakini ana watu milioni sita waliomoigia kura uchaguzi uliopita, sio mtu wa kudharau hata kidogo
   
 20. Ghosryder

  Ghosryder JF-Expert Member

  #99
  Jul 18, 2017
  Joined: Jul 6, 2014
  Messages: 8,791
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Kipenzi cha watu au kipenzi cha mafisadi!!?
   
 21. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #100
  Jul 18, 2017
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,776
  Likes Received: 1,192
  Trophy Points: 280
  Duh... Uongo mbaya Lissu ana ujasiri wa ajabu sana.....
   
Loading...