Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele! | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Jul 17, 2017.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2017
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,328
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Declaration of Interest, mimi Paskali, sio mwanachama, mshabiki au mfuasi wa chama chochote cha siasa, bali hoja zangu zote hutanguliza mbele maslahi ya taifa kwa kuzitoa truthfully, with objectivity, impartiality na balance. Kwa vile watu humu wana vyama vyao na viongozi wao ambao wengine wana waabudia, hivyo nakijua fika kinachomfika mtu atakayepandisha hoja, kuwapinga waabudiwa wao!. Wajemini haya ni maoni na mtazamo wangu tuu and not necessarily I must be right, hivyo Mhe. Tundu Lissu might be right and I might be wrong!.

  Naomba nianze kwa kumpongeza Mhe. Tundu Lisu Kwa kutokuwa muoga kuizungumzia dhana ya udikiteta Tanzania bila uoga, japo the way anavyoielezea anazungumza kwa style ile ile ya uropokaji, the Magufuli style, hivyo kuonekana kama insane fulani, lakini ujumbe umefika.


  Ukweli Mchungu wa 2020.
  Hakuna kitu kigumu kukizungumza humu jf kama ukweli mchungu!, wengi wetu humu wataanza kuizungumzia 2020 on 2019, by that time it will be too little too late!, sisi waona mbali, tunaizungumzia 2020 sasa, ili kutoa muda wa gestation period ya kujipanga and to do something worthwhile before its too late.
  CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga ...
  Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible ...
  CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue ...


  Kwa siasa hizi Chadema inazokwenda nazo, kwenye mazingira ya udikiteta huu uliopo, kama hawatabadilika, I'm very sorry to say....
  Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020 ...

  Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani ...

  In 2015 Election, Tanzania had A Choice To Choose From. Jee Kwa ...


  Paskali
  Rejea Kuhusu Udikiteta.
  Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia ...

  Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...

  Utumbuaji Majipu wa Rais Magufuli: Is It A Right Thing, At The ...

  Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya ...

  Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote | Page ...

  Nimetishwa, Kushitushwa na Kuogopeshwa na Kauli Hii ya Rais ..

  Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na ...

  Rejea Kumhusu Tundu Lisu
  Vurugu za Bungeni: Mhe.Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni ...
  Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!, Unammaliza ...
  Usiyoyajua Kuhusu Nyerere: Shuleni Alikuwa Toto Tundu!, Almanusura ...
  Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas! | Page 10 | JamiiForums | The Home ...
  Swali la Kizushi: Kwa Nini Job Ndugai Anamuogopa Tundu Antipasi ...
  Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau ...
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #21
  Jul 18, 2017
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Umetokota mbaya!
  Compilation ya vi article vyako haifanyi hoja yako kuwa angalau na chembe ya ukweli.
  Lissu yupo sahihi sana tena sana tu!

  Kumbuka kuwa ameahtakiwa mahakamani kwa kumuita magufuli "dikteta uchwara"

  Hapo ndio anaithibitishia jamii ya watanzania na ya kimataifa kwa ujumla kuwa huyu "magufuli" ni dicteta uchwara.

  Ushahidi unazidi kuongezeka pale utawala wa dicteta uchwara unapomkamata na kumuweka ndani katibu mkuu wa chama cha upinzani kwa makosa ya kutekeleza majukumu yake halali kisheria na kikatiba majukumu ya kisiasa.

  Shame on you Pascal Mayalla
   
 3. roservelt

  roservelt JF-Expert Member

  #22
  Jul 18, 2017
  Joined: Aug 31, 2016
  Messages: 413
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 80
  Political atmosphere ya sasa ni ngumu sana kwa wapinzani kudai haki zao mahakamani. Mahakama haziko huru kabisaa ...njia iliyobakia ni kutumia press conference kuwaeleza wananchi juu ya mabaya na mapungufu ya serikali hii .

  Fight...believe & obedient
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #23
  Jul 18, 2017
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kimsingi huwa namheshimu sana mzee Pascal Mayalla na huwa sipendi kujibizana naye hasa kutokana na tofauti ya umri wangu na yeye, lakini kubwa zaidi kutokana na malezi yangu..... Niseme tu, mzee, unaweza kumlaumu Lissu vyovyote ila tu kumbuka kuwa aliyeshiba ni mara chache kumkumbuka mwenye njaa. Ukiangalia jinsi wanavyofanyiwa wa vyama vya upinzani na ukalinganisha na uhuru wanaopewa wanaCCM .......... Utatamani "bora funza atoke tu, haijalishi umetumia nini kumtoa"

  Hii hapa chini nimeitoa mahali..... Na ina ukweli sana "Wakati Humphrey Polepole, anafanya mkutano wa kisiasa pale Mageti mia, Bagamoyo, tar.15 July 2017, siku hiyohiyo, muda huohuo, Katibu Mkuu wa Chadema Dr.Vincent Mashinji alikua anafanya jambo hilohilo mkoani Ruvuma. Lakini Polisi waliompa ulinzi Polepole na mkutano wake, ndio haohao walioharibu kikao cha Chadema na kuweka vuongozi 8 mahabusu kwa saa 48.

  Wakati viongozi hao wakiwekwa jela kwa kudaiwa kufanya mikutano ya siasa ambayo imepigwa marufuku, Katibu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka alikua ziarani mkoani Kigoma, ambapo alipokelewa kwa maandamano ya pikipiki zenye bendera ya CCM na kufanya mikutano na vikao vya chama chake."

  By MG
   
 5. Ngoda95

  Ngoda95 JF-Expert Member

  #24
  Jul 18, 2017
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,735
  Likes Received: 2,924
  Trophy Points: 280
  Kuna muda nalazimika kukupuuza Pascal Mayalla lakini nafsi inagoma kutekeleza msukumo huo kwa sababu nyingi kutokana na historia yako humu jukwaani.


  Ila tu nikuekeze ukweli "umepwaya" mno na haueleweki.


  Hivi haujui kuwa Taasisi ya Huyo dikteta huingilia mihimili mingine mfano bunge na mahakama?

  Hao majaji katika awamu hii kwani wako huru kihivyo?

  Ulitaka Lissu afanyeje sasa?

  Hivi case Ya kupinga upuuzi wa kipaza sauti Kule "Bangeni" imeishaje?
   
 6. juvenile davis

  juvenile davis JF-Expert Member

  #25
  Jul 18, 2017
  Joined: Apr 13, 2015
  Messages: 4,289
  Likes Received: 3,454
  Trophy Points: 280
  Kama kuna uzi ambao Mayalla umenishangaza basi ni huu.mimi sio mwanasheria lakini nina akili timamu ya kuwaza..hivi kimfano Tundu akifungua kesi atafungua kama anamshitaki nani?? Nisaidie tu hapo
   
 7. MoseKing

  MoseKing JF-Expert Member

  #26
  Jul 18, 2017
  Joined: Jul 5, 2017
  Messages: 649
  Likes Received: 637
  Trophy Points: 180
  Lowassa ana ziara huko musoma, jiandaeni kudeki na kufagia barabara maana inasemekana ninyi wenyeji wa musoma mko vizuri kwenye hiyo fani
   
 8. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #27
  Jul 18, 2017
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Ningeshangaa sana kama Pascal Mayalla ninayemfahamu angekaa kimya bila kujitokeza ku-dilute ujumbe ambao msomi Mh. Tundu Lissu ametaka kuufikisha kwa watu wenye uelewa mpana kuliko wa Watanzania walio wengi.

  Naomba kuchukua nafasi hii kuwatahadharisha wale wote wenye mapenzi mema na nchi hili ambao hawangependa kuona taifa lao pendwa likiangukia mikononi mwa mafashisti wa karne ya 21 kuwapuuzia wanafiki kama Paskali.

  Napenda kuwaasa wapenzi wote wa demokrasia kuwa kauli za madikteta popote walipo ndio sheria mama na msimamo wowote unaopingana na kauli ya dikteta moja kwa moja huitwa uchochezi bila kujali uwepo wa Bunge wala Mahakama.

  Mh. Tundu Lissu katufikishia ujumbe na sasa ni juu yetu kusuka au kunyoa. Naweza kusema bila kupepesa macho kuwa madhara ya kupuuzia ujumbe huo ni makubwa sana na yana hatari ya kuitikisa misingi ya taifa letu.

  Mungu ibariki Tanzania.
   
 9. kopites

  kopites JF-Expert Member

  #28
  Jul 18, 2017
  Joined: Jan 28, 2015
  Messages: 4,839
  Likes Received: 4,066
  Trophy Points: 280
  Tundu leo kapiga msumari wa motooooo
   
 10. c

  chach JF-Expert Member

  #29
  Jul 18, 2017
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 428
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Pascal Mkumbo type karibu utapata cheo

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 11. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #30
  Jul 18, 2017
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 18,445
  Likes Received: 59,375
  Trophy Points: 280
  Kamshauri kama anayo ya kusapoti anayodaibaende mahakamani..

  Ambacho hamshangazi ni yale yale tuneyazoea kuogopa ushauri wa kweli na kisheria mnamsakama eeeeh

  Mnarudi kwenye yale yale ya kufata nikumbo bila hata kufikiria kwanza, kisa Mh. JPM kaongelewa

  Namba mtazufi kuisoma hadi mjue kuwa upinzania wenye grade ya juu... kwa sasa hamna kitu endeleeni na porojo zenu huku mkisaga meno.

  Wapenda kwenda mahakamani eti wanaogopa mahakani... dunia ina mambo kweli kweli.. eeeeh... hakuna udikteta mnaoutaka uwepo ni uongozi wa kiaina yake eeeeh..
   
 12. Ngoda95

  Ngoda95 JF-Expert Member

  #31
  Jul 18, 2017
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,735
  Likes Received: 2,924
  Trophy Points: 280
  Hivi mnadhani nyie ndio RAIA wa nchi hii Pekee mlio na haki zaidi ya Wengine?
   
 13. NYALITINDINYA

  NYALITINDINYA Member

  #32
  Jul 18, 2017
  Joined: May 14, 2017
  Messages: 55
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 40
  Sio mbaya hata wazungu wana kamsemo kwamba " opinion is like a butthole everybody has got his/her own" Una opinion kubwa sana.. Nafkiri hata mh.tundu angefurah sana kama ungempa hiyo opinion hako..
   
 14. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #33
  Jul 18, 2017
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 14,434
  Likes Received: 21,404
  Trophy Points: 280
  Kwenye Msuso wa Kisiasa ambao Lissu anashauri tumsuse Magufuli hautahusu kususia Posho za Bunge wala Ruzuku wanazopokea!
   
 15. misasa

  misasa JF-Expert Member

  #34
  Jul 18, 2017
  Joined: Feb 5, 2014
  Messages: 5,458
  Likes Received: 2,523
  Trophy Points: 280
  Ivi ungekuwa huu ni utawala wa kidekteta katundu kalisu angekuwa salama? Uyu jamaa mropokaji tu na anajiona mjuaji kumbe mpuuzi tu.

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 16. mrangi

  mrangi JF-Expert Member

  #35
  Jul 18, 2017
  Joined: Feb 19, 2014
  Messages: 21,915
  Likes Received: 9,210
  Trophy Points: 280
  ETI katundu Lissu!we unaweza ji comparé la Lissu

  Ova
   
 17. s

  shinyangakwetu JF-Expert Member

  #36
  Jul 18, 2017
  Joined: Jun 25, 2015
  Messages: 1,088
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 280
  Lisu vs jpm Nani mropokaji zaidi,bukoba alisemaje,pale Lumumba alisemaje,chuo kikuu aliropokaje nk nk,
   
 18. m

  mwananjoy kikio Member

  #37
  Jul 18, 2017
  Joined: Jul 17, 2017
  Messages: 16
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 5
  Ni mwanasheria mzuri ila tatizo kuwasilisha jambo huwa anawasilisha kwa mrengo wa kisiasa zaidi kuegemea upande mmoja

  Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
   
 19. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #38
  Jul 18, 2017
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 10,017
  Likes Received: 10,209
  Trophy Points: 280
  Paskal Mayalla nikuambie kwa kawaida viongozi wa kisiasa hasa watawala wa kiafrika huwa hawaogopi mahakama bali huogopa nguvu ya umma. Kwa hiyo njia aliyotumia Lissu ndio njia sahihi kabisa, na iwapo kuna mwingine anaona njia ya mahakama ni bora basi anaweza kuitumia.

  Kwa taarifa yako njia aliyoitumia Lissu leo imefika kwa usahihi na ninakuhakikishia imeacha damage kubwa kuliko hiyo njia ya mahakama unayosema. Hatupingi hiyo njia ya mahakama lakini ina less impact. Jaribu kuangalia wanaomtetea mkulu kwenye ule uzi, hakuna anayejibu au kutoa majibu ya kuridhisha zaidi ya kejeli na personal attack, matusi mengi nk. Maana yake ni nini ukiona hivyo ujue ujumbe umefika sehemu sawia.
   
 20. kilght

  kilght JF-Expert Member

  #39
  Jul 18, 2017
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 626
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
 21. T

  Trump2 JF-Expert Member

  #40
  Jul 18, 2017
  Joined: May 28, 2017
  Messages: 816
  Likes Received: 1,395
  Trophy Points: 180
  Kabisa Paschal ni zaidi ya Lissu
   
Loading...