Recent content by Mwanamdodo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ana undugu na yule alinengua mjengoni huyu?

    Hahahaaaa Wilbert1974 unaakili sana ww! Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siku walipokwenda kwa mara ya kwanza gesti

    Hayahayaaaaaa Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kituko cha mwaka 90

    Battery Low we share the verry same story,mie ilikuwa kwa mjomba na rafiki yangu ambaye alikuwa mchungaji (R.I.P Mchungaji Kyando) ni mbezi beach makonde ss wenyeji wapo nje ila mie na mshkaji sebuleni,ukaletwa ugali maharage jamaa kakata kipande kaenda nje thn mie nikamimina maharage na kisamvu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Google wameifuta blog ya Linda Ikeji

    Nambi mwiguluka? Haya ndilutila twitang'ana kuboma maana sambii mbuye nganywe uwulasi na kibambule! Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Waziri Lazaro Nyalandu kuwa na CRIMINAL RECORDS

    Uingereza na Marekani huingii kama ulishawahi kutwa na kosa la kubaka Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Waziri Lazaro Nyalandu kuwa na CRIMINAL RECORDS

    Twambie alitumia visa ya aina gani mkuu ndo tujue otherwise declare interest na kuwa ww ni kibaraka wake na Membe! Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  7. M

    JamiiForums Tanzania James Mbatia, kama Mulugo

    Wee jamaa mbulula kweli kwelu. Labda sie Tanzania hatujitangazi ndo maana hatutembelewi sana ila haiondoi dhana kuwa tunavyo vivutio vingi ikiwa ni pamoja na ww usijeweza tofautisha kati ya 'uwingi wa vivution' na 'kutembelewa sana' Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka: Nimepokea Bilioni ya Mbia wa IPTL! Malipo yalisimamiwa na BoT

    Rais Mtarajiwa umelipwa bei gan mkuu na mama Tibaijuka? Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu kuthibitisha vyeti

    Mwenye kuhitaj certification wiki moja ya bure naongeza just sms to 0713688846 jitambulishe 'jf family' thn ntakuelekeza ofisin kwangu Posta. Mmoja kana jana na wengi wane ni-pm pia ila ni ofa hasa kwa wale jobless maana nao tuwasaidie wapate kazi Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kibajaji

    Bben2 nawe shule yako inashaka. Ulimaanisha baada ama badala? Kiswahili mzee nni shidaaaaaaa kuzidi hii lugha iliyokuja kwa majahazi na ndege! Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu kuthibitisha vyeti

    Kindili Ndili unapoteza watu mkuu. Kwanza huwezi kuthibitisha mahakama ya mwanzo,pili huwezi kutoa nakala/kopi ya cheti ambacho ulithibitisha yaan document iliyothibitishwa inatumika km ilivyo,ukitoa kopi inatakiwa ku-certify as a true copy of the copy of the original. Mwenye mahitaji ni PM...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa mock kufanyika Februari mwakani?

    Ngoja waje senior great thinkers wakupe jibu lako maana unauliza mpaka format ya pepa as if hapa NECTA. Soma dogo ili wakati pepa inakuja uwe tayar! Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba alie serious kuoa

    Mie 32 -nshakosa sifa kumbe! Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

    Tatizo la akili ndogo kutaka kutafsiri andiko la mwenye akili kubwa. Unamkumbuka Prof. Seith Chachage na kitabu chake 'Makuwadi wa Soko Huria?' Km ni matusi basi ungesema Rais hapa alivuliwa nguo ila alijua jamaa kaandika nini. Tambua hiyo ni namna ya uandishi kny fasihi Sent from my BlackBerry...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Swaga za kina Mbasha nazikubali...

    Hyo wa kulia nyele kama Drogba vile kapiga 'kalkiti' ila ikithibitika jamaa anaenda jela hivihivi maana hakimu aliyepangiwa kesi yake ni mtu wa 'spade a spade' hana masihara kabisa. Kwa asiye jua sheria anaweza kudhan labda Flora kamwonea ila kukiwa na ushahid 'water tight' anaenda jela 30 yrs...
Back
Top Bottom