Naomba kuuliza kuhusu kuthibitisha vyeti

Naomba kuuliza kuhusu kuthibitisha vyeti

utatumia pesa nying manake zinahitajikaga sana...gonga muhuri kwenye original afu utakua unatoa kopi tu utakapohitaji..haina madhara na ni best way ya kutunza hivyo vijisenti

Muomba ushauri usije jaribu kufuata ushauri huu. I AM WARNING YOU.
 
utatumia pesa nying manake zinahitajikaga sana...gonga muhuri kwenye original afu utakua unatoa kopi tu utakapohitaji..haina madhara na ni best way ya kutunza hivyo vijisenti

Kwa hiyo nakakala halisi (original certificates) zimegongwa muhusi kwamba ni nakala kutoka nakala halisi (copies of the original certificates)?????????
 
Kindili Ndili unapoteza watu mkuu. Kwanza huwezi kuthibitisha mahakama ya mwanzo,pili huwezi kutoa nakala/kopi ya cheti ambacho ulithibitisha yaan document iliyothibitishwa inatumika km ilivyo,ukitoa kopi inatakiwa ku-certify as a true copy of the copy of the original. Mwenye mahitaji ni PM natoa ofa kwa watu wangu wa jf kwa wiki moja hii mpaka monday free of charge ila Kindili usipotoshe watu mkuu maana mm naifanya hii kazi na najua utaratib si wa kuambiwa!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Nakubalina na wewe sehemu kubwa kasoro tu kwamba mahakimu wa mahakama za mwanzo ni maafisa viapo kwa hiyo wanaweza kuthibitisha vyeti.
 
salam wanajamii. nlikuwa naomba msaada kwa yoyote anayejua sehem gani wanaweza kinisaidia ku certify vyeti vyangu na ni bei gani
kuna mtu kajitaja hapo juu kuwa ni mthibitishaji, muelewane tu...kama walivyosema toa kop nyingiiiii ukifika kugonga tu utatu,ia na siku ingine
 
huu uzi umenichekesha sana............ but pia mleta Uzi unackitisha....I doubt your education... yaan hujui sehemu ya ku certify vyeti??????? naomba kujua professional yako.....
Kwa hyo wewe ndo kimeo hujaelewa cos uzi ulivyosema pale mwanzo ulisoma au unaropoka tu? Soma uzi kwanza uelewe
 
ndio zamani ilikua hakuna haja ya kucertfy lakini matangazo yao ya sasa kuanzia lile la aug 26 mwaka huu wameedit na kuongeza hayo maneno ya kucertfy vyeti.tafuta tangazo soma kipengele cha v

Acha uongo mkuu hakuna cha kuedit mm nimeanza kuona hyo condition miaka almost miwili sasa ila sijawahi wapa hela mahakimu na hadi kazi ninepata.
 
Ukweli ni kuwa huu ni ujinga na kuingia gharama zisizo za lazima

SEKRETARIATI YA AJIRA WENYEWE WALISHAWAHI TOA UFAFANUZI KUWA HAKUNA ULAZIMA WA KUPELEKA VYETI KWA AFISA VIAPO.. MAANA HATA UKIENDA KWA USAILI WAO WANAVIKAGUA UPYA

isipokuwa tu kwa wale waliosoma nje ya nchi.. Vyeti vyao vinatakiwa vikathibitishwe na mamlaka husika za mitihani ikiwemo NECTA. NACTE NA TCU

Hizo zingine mbwembwe tu

vyeti vingine tayari vilishakuwa certified

ukisoma.cheti chako kuna sehemu kimeandikwa certified...

ILA KAMA UNA HELA YA KUCHEZEA WAPELEKEE HAO MAWAKILI ULAJI
 
Hawa utumishi matangazo yao ya kazi sahivi ni lazima kucertify vyeti itakua ni usumbufu tu ila ndio hivyooo no way

Tangu ilivyoanzishwa sekretariati ya ajira hakuna mwaka ambao wameedit maelekezo ya jumla ya kuomba kazi.. Hilo neno certify lilikuwepo tangu zamani

mwanzon walikuwa kweli wanazingatia ila kwa sasa.. Ukicertify usipocertify vyote vinapokelewa...

Tena yule ambaye hajacertify atapata kazi then ww uliyejifanya kucertify ukakosa kazi

mambo ya msingi ili kufanikisha kuitwa kwenye usaili

1. vyeti vyako viwe original maana siku hizi ni rahisi kugundua vyeti fake na wanaobaini ni wenyewe utumishi na siyo hao maafisa viapo
2. Kama vyeti vyako ni vya nje ya nchi kathibitishe TCU au NACTE au NECTA kutegemeana na level
3. unapotuma application hakikisha una sifa mojawapo iliyotajwa ktk tangazo husika.. Vinginevyo sahau.. Yani hawa jamaa wakisema wanataka PUBLIC ADM bas na iwe hivyo usijiongeze na degree ya COMM DVT huitwi
4. unapotuma applicationa hakikisha unatuma latest CV. BARUA. PICHA MOJA. VYETI VYA TAALUMA TRANSCRIPT NA CHA KUZALIWA
5. HAKIKISHA JUU YA BAHASHA UNAANDIKA NAFASI ULIYOOMBA ILI KURAHISISHA KTK KUZITENGA vinginevyo sahau kuitwa kwenye usaili

NB: ILI UWEZE KUPATA KAZI HAPO NI UWEZO WAKO SASA KUONESHA JINSI ULIVYO BoRA UKIFIKA PALE KWENYE PANNEL basi (oral interview)

Mambo ya kuthibitisha vyeti kwa mahakimu mnapoteza hela.. Just imagine umetuma application 5 kwa mkupuo.. Vyeti kwa kawaida hiwa vitano.. Haya sh 5000 mara tano 25000 si wehu huo..
 
Mambo yakucertify vyeti ni ku2ibia hela,wengne 1500,2000,2500,5000 @mhuri.daaa kaz kwelkwel
 
Kweli mkuu,hapo naunga mkono.
 
Wakuu!
Ningeomba nami kuchangia kidogo katika jambo hili.
Ni kweli kabisa hakuna ulazima wa kucertify vyeti vya elimu au kile cha kuzaliwa na hata kama itatokea hujafanya hivyo sekretariate ya ajira hawatakutilia mashaka yoyote.
Kingine kuwa ukitazama kwa umakini vyema vyeti vyako utagundua kuwa vimeandikwa "this is to @CERTIFY that ......................etc" hiyo inathibitisha uhalali wa neno certify kama lilivyoombwa na sekretarieti ya ajiri.
Utakachopaswa tu kama itatokea umeitwa kwenye usahili utapaswa tu kwenda na vyeti vyako halali na halisi.
 
Naunga mkono hoja.. Kama hauna cheti original unaumbuka mwenyewe siku ya usaili na wala anayekufanyia usaili hapati.hasara yoyote...

certification za maafisa viapo no gharama bhana
 
kwa iyo kila ukitaka kufanya application lazma uende mahakaman kuthibitisha vyeti, bora ungekuwepo utaratbu wa kutoa copy ya copy ya nakala.
 
Halafu pia kuna kitu pia kinatatiza kidogo wakuu ni kuhusu namna ya kutuma nyaraka zako kwa tume.
Kwa kuwa haihurusiwi kuzipeleka pale kupitia hand delivery na kushauri kutuma kwa posta mambo mengine (e.g bei, muda na uhakika) yamezinduka na kukatisha tamaa.
kama ukienda posta kwa hapa nilipo mie na nataka kuzituma jia ziko tatu.
i. EMS = 13100
ii. Registror =3700
iii. Stamp =1500.

kwa njia ya EMS ni rahisi sana na barua yako huweza kuwafikia wahusika mapema japo bei ni kubwa.
 
salam wanajamii. nlikuwa naomba msaada kwa yoyote anayejua sehem gani wanaweza kinisaidia ku certify vyeti vyangu na ni bei gani

Njoo UDSM. Nitafute kwa 0713 111171. Nitakusaidia kutokana na mazingira utakayokuwa nayo
 
Mwenye kuhitaj certification wiki moja ya bure naongeza just sms to 0713688846 jitambulishe 'jf family' thn ntakuelekeza ofisin kwangu Posta. Mmoja kana jana na wengi wane ni-pm pia ila ni ofa hasa kwa wale jobless maana nao tuwasaidie wapate kazi

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Mimi tangu nilipoangalia kwa umakini vyeti vyangu na kuona maneno THIS IS TO CERTIFY THAT......... huwa sipeleki kwa mahakimu tena.Mimi hapa Mahakama ya mwanzo Buguruni walikula hela yangu lkn na washikaji zangu tukiomba wote hawajaenda kule bado wakaitwa usaili.
Kucertify vyeti kwa mihuri ya mahakimu kwangu ni km hanasa.
 
Mi jana tu nilienda kwa mwanasheria akanambia kucertify vyeti ni sh. 10,000 kwa kila kimoja. Nikamwambia subiri mama,ntakuja kesho ndo ikawa forever.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom