Kindili Ndili unapoteza watu mkuu. Kwanza huwezi kuthibitisha mahakama ya mwanzo,pili huwezi kutoa nakala/kopi ya cheti ambacho ulithibitisha yaan document iliyothibitishwa inatumika km ilivyo,ukitoa kopi inatakiwa ku-certify as a true copy of the copy of the original. Mwenye mahitaji ni PM natoa ofa kwa watu wangu wa jf kwa wiki moja hii mpaka monday free of charge ila Kindili usipotoshe watu mkuu maana mm naifanya hii kazi na najua utaratib si wa kuambiwa!
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums