Swaga za kina Mbasha nazikubali...

Swaga za kina Mbasha nazikubali...

Gwajima hajakimbia nchi, jumapili iliyopita nilifika kanisani kwake, alikuwepo na hakuhubiria mbele, muda wote alitembea tembea kwa watu kwa zaidi ya masaa matatu!

Hapo nikaamini hakuna kilichosahihi kati ya yote ambayo yamekwisha andikwa kumhusu yeye. Tuliambiwa Mbasha kamshtaki kwa baraza la Maaskofu wa Kipentecoste, cha kushangaza badala ya maaskofu hao kumuwekea vizuizi ndio kwanza wiki iliyopita Pentecoste wametangaza kulitambua kanisa la Gwajima kama member wa Pentecoste

Mwenye akili na afahamu.

fedha kitu kingine.......
 
Hyo wa kulia nyele kama Drogba vile kapiga 'kalkiti' ila ikithibitika jamaa anaenda jela hivihivi maana hakimu aliyepangiwa kesi yake ni mtu wa 'spade a spade' hana masihara kabisa. Kwa asiye jua sheria anaweza kudhan labda Flora kamwonea ila kukiwa na ushahid 'water tight' anaenda jela 30 yrs. Lulu hajahukumiwa ila alibadilishiwa shtaka toka mauaji kwa kudhamiria 'murder' mpaka kuua bila kukusudia ndo akapewa dhamana ila kesi yake hata mwanafunzi wa LLB 1 anaweza mtoa.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Nisigependa huyu jamaa afungwe ila hii kesi imekaa vibaya sana kwake. Kesi yoyote ile lazima kuwe na ushahidi usiokuwa na shaka ndipo mtumiwa aweze kutiwa hatiana na kuhukumiwa. Ushahidi wa daktari aliyempima yule binti ndio utakaoamua hatima ya hii kesi.
 
10436042_10152553648284339_9100020301038120842_n.jpg



Hapo wametoka Mahakamani...

Nlidhani ni Ma P.I.M.P wa US kumbe mkali marioo wa Dar city!!
 
Angekuwa mariooo angekaa hom kuchek tv na kuendesha gari. Asingelikuwa anaruka sarakas na kumwaga mauno kwenye nyimbo za furora
 
Mmeona enheeee, usaniii huo. Kisha hapa anakwenda kubaka shemeji akimaliza anaimba na kujifanya mtu wa dini sanaaaa. Kwa kweli siku za mwisho kila mmoja wetu na msalaba wake.
 
Komaa mkuu! Women are the only enemies we sleep with together on bed.
Hahahahaaaa...mkuu umenikumbusha movie moja linaitwa 'sleeping with an enemy' .. Booonge la movie kama hujawahi liona litafute
 
Hahahahaaaa...mkuu umenikumbusha movie moja linaitwa 'sleeping with an enemy' .. Booonge la movie kama hujawahi liona litafute

Mkuu nitaitafuta hiyo, maana inatuhusu!
 
Ningekuwa na binti tena wa kuoza ningempatia huyu Emma amuoe. Tena angekuwa ni mzuri wa sura na tabia kuliko Flora mwenyewe mzee wa umri kuliko Emma. Ninachukia sana mtu humtaki mume ondoka kauze tu na si kubambikiza kesi kubwa hivi.

Watu mmechelewa wapi? Hivi bado mna adabu za kale za kuzawadia watu vibinti vyenu watu waoe? Kisa? Suti? Hivi lini watoto wakike watakuwa na maamuzi yao wenyewe?
 
Back
Top Bottom