Recent content by Mwanafalsafa

  1. M

    Nyerere na Uhuru

    Wewe shida yako ni udini. Sharti la elimu unasemaje lililenga kuwatoa Waislam? Kwani Waislam hawapendi elimu? Kubali kuwa hao wazee wako walizidiwa akili na Nyerere, ndo maana historia ya Nyerere inapewa kipaumbele kikubwa kuliko historia ya hao wazee wako wa Kiislam. Hata wao wenyewe hao...
  2. M

    Athumani Ally Maumba aliyetikisa miaka ya 1980s kwa kulawiti wanafunzi yupo wapi?

    "Kama sikupendi yo kacheze sitopenda wengi kama Maumba!" Alitungiwa wimbo bwana. Huu hapa: https://www.youtube.com/watch?v=Ij8-ffOROjc
  3. M

    Nyerere na Uhuru

    https://www.juliusnyerere.org/uploads/uamuzi_wa_busara.pdf
  4. M

    Nyerere na Uhuru

    We mjukuu acha uongo. Tuulize babu zako hapa habari za Nyerere tutakwambia.
  5. M

    Serikali iangalie upya usajili wa taasisi za dini nchini

    Tuambie... ni lini walipofanya hayo maamuzi, na kulitokea nini, na ushahidi wako ni upi?
  6. M

    Nabii Clear Malisa ni nani?

    Hata wa enzi walikuwa ni wala sadaka.
  7. M

    Tiba ya Dr. Ndodi utapeli mwingine chini ya mwavuli wa Biblia

    Kikubwa mnachotakiwa kujifunza ni kwamba ujasiri ni mali. Ndo maana kuna neno linaitwa Mjasiriamali. Yaani ujasiri ni mali. Na mtaji wa kwanza wa binadamu ni maneno yake. Ukiwa na ujasiri wa kuongea, hautakosa watu wa kukusikiliza unachoongea. Na ukishapata watu wa kukusikiliza, hautakosa...
  8. M

    Mshahara wa Mwenyekiti wa Mtaa na Diwani ni shilingi ngapi?

    Tshs. 350,000/- kwa mwezi. Huo ni mshahara tu, nje ya posho za vikao. Mishahara yao toka Mama Samia alipochukua nchi wanalipwa moja kwa moja na Hazina. Ila posho za vikao ndo wanalipwa na Halmashauri zao. Kabla ya Mama Samia mishahara walikuwa wanalipwa na Halmashauri na ilikuwa ni Tshs...
  9. M

    Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

    We umeuona huo mkataba? Kwanini wameufanya kimya kimya... mbona ule wa DPW uliwekwa hadharani?
  10. M

    Kenya yaripotiwa kufungia mtandao wa Telegram ili kuzuia udanganyifu kwenye mitihani

    Wafunge internet yote kabisa, Maana njia za kusambaziana nyaraka mtandaoni ziko nyingi sana.
  11. M

    Muungano wa Makanisa ni hatari

    Kama bado tu hujajua ni kwamba dini zote ni utapeli. Hakuna dini ya ukweli kwa sababu hakuna ukweli katika dini. Na hakuna Mungu. Sasa we endelea kusema "Hawa ni waongo" na "Hawa ndo wakweli" wenzako hawajali wanagawana tu sadaka unazotoa. Wanajua hakuna dini au dhehebu litakalokusanya watu...
  12. M

    Mlimani Primary School

    Wewe ni kwamba ulisoma ila hukuelimika. Mwalimu wa kwanza wa mtoto ni mzazi. Ukishajijua wewe ndo mwalimu wa kwanza basi mwanao mpeleke shule yoyote ile ya serikali ya elimu bure atakuwa ni kichwa tu. Lakini upande wa pili ni jinsia yako. Je wewe ni mwanaume au mwanamke? Wanawake wengi wana...
  13. M

    Wakili Kibatala hili la mfanyakazi TRC anatafuta umaarufu

    Uwakilishi wa wakili unaruhusiwa hata kwenye vyombo vya kusikiliza na kuamua malalamiko vilivyoko nje ya Mhimili wa Mahakama. Sio mpaka iwe Mahakamani tu ndo aende wakili.
  14. M

    Jeshi la Polisi latoa tamko baada ya mashabiki wa Simba kuvunja viti Uwanja wa Taifa

    Huo ni uongo. Waliong'oa viti ni mashabiki wa Simba na wakawarushia maafisa na wachezaji wa Sfaxien kama kisasi kwa fujo walizofanya Sfaxien. Video hizi hapa https://youtu.be/zCCoWFJGScU https://www.youtube.com/watch?v=pbCWbl3c4zc
Back
Top Bottom