Tiba ya Dr. Ndodi utapeli mwingine chini ya mwavuli wa Biblia

Ndodi ni mwizi wa kutupa, ukiona mwanaume anaongea maneno mia tatu kwa sekunde moja ujue kuna kasoro. Kila kitu anakijua yeye ni nani? hivi jamani hawa watu wanakuja kwa gear hizo basi tufunge mahospitali au hatuna haja ya kuwa na madactari bingwa. Ndodi nafikiri kitu asichokiweza ni Operation vilivyosalia vyote yeye anajua.

Mungu tunusuru, hawa vibaka wanaokuja kwa njia hiyo wakomeshwe, wanatupeleka kusiko.

Asante sana kwa kutuzindua mzee. Huyo sasa hivi atachekea TRA we ngoja.
hii nimeipenda
 
Pole sana ndugu yangu,tanzania imejaa matapeli kila kona kuanzia watawla hadi wafagia mahospitalini,kila mtu anaitwa daktar na hamna anyehoji ni daktari wa namna gani leo utasikia dr. aziza anatibu sukari kwa dawa za kienyeji na ukifuatilia utakitari wake ni kama mbunge maji marefu anavyojiita professa,mtu wa kawaida akisia dr au prof anakimbilia tiba ambayo haina uhakika.

Ndodi ni mwongo na mjasiriamali mzuri sana hivyo kuweni makini na tiba zingine kama pumu zipo tena elfu sabini inaweza kuwa gharama ya mwaka mzima na pia huponi kabisa ni ugonjwa sugu

MWISHO TULAANI HAWA WANAOIBUKA NA KUTOA TIBA ZA AJABU AJABU NA BABU WA LOLIONDO SI AJABU NI WALE WALE,MTANISAMEHE WAPENZI WA BABU
 
Wenye masikio nawasikie maneno haya ambayo yanatoka kwa watu waliojeruhiwa na tapeli ndodi.
 
Back
Top Bottom