Recent content by Mwana-G

  1. Mwana-G

    JamiiForums Tanzania Hongera Vitu's juma

    Pow Pow
  2. Mwana-G

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio magwiji wa siasa Tanzania

    1.Kikwete 2.Lowassa 3.Dr slaa 4.Mbowe 5.Zitto 6.Kinana comred 7.Mkapa Hawa jamaa hawafai kimikakati big up kwao haya ndo magwiji ya siasa bongo
  3. Mwana-G

    JamiiForums Tanzania Hongera Vitu's juma

    Kuna jamaa anaitwa Vitu's juma uyu jamaa anaandikia gazeti la dira ya mtanzania (makala) anajitambulisha kama mwanafunzi wa chuo cha Saut mbeya nampa hongera sana .
  4. Mwana-G

    JamiiForums Tanzania Wabunge kalitumieni bunge kujenga nchi siyo vyama

    Kwanza na penda kukiri kuwa tangu awali sikuipenda ile tabia ya UKAWA kususia bunge, sikuipenda kwasababu naelewa fika kuwa style ya upinzani kususia jambo lolote lile haijawahi kuzaa matunda kwa wananchi na Taifa labda kwa wauza magazeti. Rejea ya bunge la katiba na lile la Maalim Seif kule...
  5. Mwana-G

    JamiiForums Tanzania Kacheze unapochezaga

    Nimeipenda iyo
  6. Mwana-G

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu naye ni wa HAPA KAZI TU?

    Iv mtoa post ivi unajua Obama anamakamu wake sijui unamfaham???
  7. Mwana-G

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua, Makamu wa Rais wa JMT anaishi wapi?

    Maswali ya kijinga yanastahili majibu ya kijinga
  8. Mwana-G

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Paul Makonda ulivyoficha ule wa Dkt. Vicent Mashinji

    Umeshamaliza?. Ivi kwanini mnapenda kukurupuka?
  9. Mwana-G

    JamiiForums Tanzania Lowassa anyoosha mikono. Sumaye kubaki kuziba pengo baada ya Magufuli kubana kona zote

    Ila mi mwenyewe namtafta kinana yuko wap???
  10. Mwana-G

    JamiiForums Tanzania Hongera ccm

    Kwa mara ya kwanza leo najitokeza hapa mbele kuipongeza ccm kwa kazi nzuri wanayofanya kukandamiza democracy za watu wanaohubiri democracy kinafiki. Nawashauri ccm wa endelea hivyo hivyo kule zanzibar, wa endelea hivyo hivyo pale dar kwenye umeya mpaka pale hawa watu watakapojifunza democracy ya...
  11. Mwana-G

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa zitto kabwe

    Ndugu Zitto kabwe kiongozi mkuu wa chama Act wazalendo, najitokeza baradhani kukupa pongezi kubwa za ushindi katika jimbo lako la kigoma mjini licha ya kwamba mlisimamisha wagombea wengi mno lakini ukashinda peke yako bado ni ushindi mkubwa kwasababu chama kilianza hakikuwa na mda mrefu na wewe...
  12. Mwana-G

    JamiiForums Tanzania Nini dhima ya viongozi wa kisiasa kualikwa makanisani?

    Mpaka leo najiuliza sipati jibu nini lengo kubwa la makanisa kualika viongozi wa kisiasa katika hafla zao, Je, huwaalika kama sehemu ya wao kupatia jukwaa la kuhutubia na kupatia umaarufu? Na kumbuka kilichotokea vunjo kwenye mualiko wa Mbatia na Mlema ule mualiko haukufanywa kwa bahati mbaya...
  13. Mwana-G

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuwakumbusha kenya kuwa tz hatutaki masihara

    Kenya ndo nchi pekee Afrika mashariki inayoishi kinafiki na tz, nakiri kuwa kwa tz rafiki no 1 nikenya lakin kwa kenya adui no 1 ni Taifa letu. Kenya wanatudharau nakuamua lolote tena kwa makusudi kabisa nadhani Alshabab hawajawafundisha jinsi ya kuishi vizur na majirani zao na kama...
  14. Mwana-G

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni ya sita kijeshi Afrika

    Dah umeongea kitu cha msingi sana big up
  15. Mwana-G

    JamiiForums Tanzania Magufuli Aagiza Operesheni Ondoa Ombaomba DSM

    Msisahau wapiga debe kero
Back
Top Bottom