Hongera Vitu's juma

Mwana-G

Member
Jan 9, 2016
45
15
Kuna jamaa anaitwa Vitu's juma uyu jamaa anaandikia gazeti la dira ya mtanzania (makala) anajitambulisha kama mwanafunzi wa chuo cha Saut mbeya nampa hongera sana .
 
Kuna jamaa anaitwa Vitu's juma uyu jamaa anaandikia gazeti la dira ya mtanzania (makala) anajitambulisha kama mwanafunzi wa chuo cha Saut mbeya nampa hongera sana .
HABARI YAKO HAIJAKAMILIKA ULIKUWA NA HARAKA YA NINI?
 
Duh! Sasa hiyo hongera unampa hapa ili iwe nini? Waombe hao Dira namba yake ya simu umpigie
 
Back
Top Bottom