Hongera ccm

Mwana-G

Member
Jan 9, 2016
45
15
Kwa mara ya kwanza leo najitokeza hapa mbele kuipongeza ccm kwa kazi nzuri wanayofanya kukandamiza democracy za watu wanaohubiri democracy kinafiki. Nawashauri ccm wa endelea hivyo hivyo kule zanzibar, wa endelea hivyo hivyo pale dar kwenye umeya mpaka pale hawa watu watakapojifunza democracy ya kweli, napenda kukiri na kuto kuwa mnafiki kuwa si vipendi vyama vya hovyo kama chadema hasa kwakile walichokifanya kwa mh zitto kabwe pale Tunduma tar 21 ya mwezi wa sita mwaka 2015 ambapo chama cha chadema kinachohubiri democracy kilipo ongoza mapambano ya kuminya democracy ya wengine kwakuandaa vijana wanywa viroba na wavuta bangi kumzomea na kurushia mawe mh zitto bahati nzuri hakuhutubia (mungu mwema aliepushia mbali). Mpaka sasa na jiuliza ni democracy gani chama hiki kinahubiri na kuililia? Democracy ipi au democracy ya kuwakandamiza wengine huku wao wakinufaika? Hongera ccm fanyeni hivyo mpaka hawa watakapopata akili na kujua kile wanachokipigania.
 
Back
Top Bottom