Ni wakati wa kuwakumbusha kenya kuwa tz hatutaki masihara

Mwana-G

Member
Jan 9, 2016
45
15
Kenya ndo nchi pekee Afrika mashariki inayoishi kinafiki na tz, nakiri kuwa kwa tz rafiki no 1 nikenya lakin kwa kenya adui no 1 ni Taifa letu.
Kenya wanatudharau nakuamua lolote tena kwa makusudi kabisa nadhani Alshabab hawajawafundisha jinsi ya kuishi vizur na majirani zao na kama wataendelea watajikuta wanapigwa tuuu huku Alshabab, huku Uganda huku mombasa watataka kujitenga huku tz wasipobadilika wataumia serikali wapigen stop wakenya kuidharau nchi na raslimari zake rasiivyo niko mbion kujiunga jw
 
Back
Top Bottom