Hapo kumkakati namkubali JK...japo EL sio mbaya ila JK mtoto wa mjini aiseeh
Ilikuwa ni paaaa! ki town town ukimuona kikwete anatabasamu unaweza fikiri hamnazo kumbe mkichwa sana.Mzee wa NGINJA NGIJA KITANDA KWA KITANDA mpaka Ikulu.Jk chama kilikuwa kinakwenda kumfia mkononi .
Ilepanga pangua ya watendaji wakuu wa tume ya uchaguzi dakika za majeruhi alicheza umafia hatari .
Pale ndo sikuamin macho yangu...afu jamaa akapewa ujajiJk chama kilikuwa kinakwenda kumfia mkononi .
Ilepanga pangua ya watendaji wakuu wa tume ya uchaguzi dakika za majeruhi alicheza umafia hatari .