Naombeni kujua, Makamu wa Rais wa JMT anaishi wapi?

Vasco wa degamer

Senior Member
Feb 21, 2016
194
144
JPM yeye anaishi magogoni. Huyu mother anaishi wapi?
Naye amechukua familia yake pamoja na mume wake wanaishi kwa Magufuli?
 
Makaazi rasmi ya VP ni majengo yale next to St Peters Church along Haile Selassie Road.Yeye ni jirani na papal nuncio residence.

PM makaazi yake ni Tumbawe Street kule Coco Beach
Shukran mkuu, nataka kujua pia Mbowe Mwenyekiti wa Chadema ana ishi wapi hapa jijini..
 
Aisee, huwa hata mimi najiuliza Mbowe anaishi wapi...
Mkuu peleka ujinga wako Lumumba Mbowe kaingiaje hapa.mtu kauliza swali la maana unakurupuka inaonekana hata chumbani kwa baba na mama yako wakiwa wamelala huwa unaingia bila hodi
 
Mkuu peleka ujinga wako Lumumba Mbowe kaingiaje hapa.mtu kauliza swali la maana unakurupuka inaonekana hata chumbani kwa baba na mama yako wakiwa wamelala huwa unaingia bila hodi
wewe ndio mjinga maana huoni hata hilo ni swali kama la mleta mada, kama hujui nyamaza. wanaojua watakuja na kujibu. nauliza tena..Mbowe anaishi wapi?
 
wewe ndio mjinga maana huoni hata hilo ni swali kama la mleta mada, kama hujui nyamaza. wanaojua watakuja na kujibu. nauliza tena..Mbowe anaishi wapi?

Watoto mliozaliwa nyumba za wageni mna shida sana anzisha uzi wako unaomuhusu huyo mbowe
 
Back
Top Bottom