Nini dhima ya viongozi wa kisiasa kualikwa makanisani?

Mwana-G

Member
Jan 9, 2016
45
15
Mpaka leo najiuliza sipati jibu nini lengo kubwa la makanisa kualika viongozi wa kisiasa katika hafla zao, Je, huwaalika kama sehemu ya wao kupatia jukwaa la kuhutubia na kupatia umaarufu? Na kumbuka kilichotokea vunjo kwenye mualiko wa Mbatia na Mlema ule mualiko haukufanywa kwa bahati mbaya bali ulipangiliwa na ulikuwa na lengo mahususi ya kisiasa..... Na kumbuka KKT walikuwa wanapenda sana kumtumia Sumaye si kwasababu alipata kuwa waziri mkuu bali ni kwasababu za kisiasa sku izi makanisani ndimo mnatumika kama majukwaa ya kisiasa baada ya uchaguzi kuisha shame on u viongozi wa dini ivi hamuwezi kumualika mtu akaudhuria na kutoka bila kutoa mitamko ya kisiasa iliyojaa chuki??????
 
Back
Top Bottom