Mwana-G
Member
- Jan 9, 2016
- 45
- 15
Ndugu Zitto kabwe kiongozi mkuu wa chama Act wazalendo, najitokeza baradhani kukupa pongezi kubwa za ushindi katika jimbo lako la kigoma mjini licha ya kwamba mlisimamisha wagombea wengi mno lakini ukashinda peke yako bado ni ushindi mkubwa kwasababu chama kilianza hakikuwa na mda mrefu na wewe ulitambua kabisa kuwa kushinda ni kazi ila kwasababu ya kukuza chama iwe hivyo.
Ndugu kiongozi mkuu nataka nikukumbushe kuwa chama chetu pendwa hakitajijengea umaarufu kipindi cha uchaguzi tu hivyo kunahitajika maandalizi makubwa ya mapema katika kujenga chama,ni vyema kwa mda huu chama kikafanya uchaguzi haraka katika ngome zake kuanzia vijana mpaka wazee, vijana walio Makini na watiifu kwa chama ndiyo nguzo muhimu kabisa katika kukuza, kutetea na kueneza sera za chama. Nakutakia tafakuri njema.