Mwana-G
Member
- Jan 9, 2016
- 45
- 15
Kwanza na penda kukiri kuwa tangu awali sikuipenda ile tabia ya UKAWA kususia bunge, sikuipenda kwasababu naelewa fika kuwa style ya upinzani kususia jambo lolote lile haijawahi kuzaa matunda kwa wananchi na Taifa labda kwa wauza magazeti.
Rejea ya bunge la katiba na lile la Maalim Seif kule Zanzibar. Kila wanapoumia ccm inatusua ajabu kubwa hili, wabunge wa upinzani kutokana na uchache wao stahiki yao si kutoka bungeni bali Kupambana humo humo kwa nguvu za hoja.
Wabunge wengi bungeni wapo kujenga vyama vyao sasa ukawa wanatumia nguvu kujijenga na wanataka wahurumiwe na wabunge wa ccm waliowengi ili walijenge na CCM wanajikuta wakitumia karata ya wingi wao kupambana na wachache na hiyo ndo democracy 'wengi wape 'mara zote UKAWA hushindwa aya tuyaache hayo ya kina NAPE na BUNGE lao turudi huku mtaani,
Wabunge kalitumieni bunge kujenga nchi siyo vyama, Bunge ni jengo la umma siyo jengo ukumbi uliojengwa na vyama vya siasa, kama mnataka kujenga vivyama vyenu hivyo visivyo na vision, vivyama vilivyojaa ubinafsi na ulaghai mwingi ukwaeni uenyekiti au ukatibu wa chama mkoa au wilaya shame to you MP's.