Recent content by mwami ndalibanye

  1. mwami ndalibanye

    JamiiForums Tanzania Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

    samahani naomba kujua kozi zenu za hivi karibuni
  2. mwami ndalibanye

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi nilivyomuobserve Rais, nakubaliana naye suala la kutohudhuria misiba, tusimlaumu..

    nimecheka sana.... we umeponda sana mh. ila wanao comment uelewa wao ni mdogo ndomana povu jingi.... haya bwana mi nimekuelewa
  3. mwami ndalibanye

    JamiiForums Tanzania Jesca Kishoa kwa hili la kumkosoa Kafulila hadharani na kufuta picha zake kwenye mitandao yako ya kijamii, umekosea

    mi nadhani huyu mama ni mmoja kati ya wanawake wasio na maadili na hafai kuwa mke. mwanamke aliefunzwa hawezi kumpinga mumewe hadharani na kumuita hana msimamo.
  4. mwami ndalibanye

    JamiiForums Tanzania Babu Tale asema anajiandaa kisaikolojia kufungwa jela maana hana millioni 250 za kumlipa Sheikh Hashim Mbonde

    umeongea point sana kaka. Dini imekua biashara
  5. mwami ndalibanye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eric Omond kaishiwa kwenye stand up comedy

    nakubaliana na hoja yako 100%.
  6. mwami ndalibanye

    JamiiForums Tanzania Brother Mo Dewji, seriously??

  7. mwami ndalibanye

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kuenguliwa kwa Mh.Nape Nnauye, kwa jinsi alivyohangaika na chama sidhani ana hadhi ya bashite. kwakweli Tanzania One ametukosea wana CCM ambao tulimtetea wakati chama kikiwa kwenye hali mbaya. Nitakuchukia na sitokuheshimu tena wala sitaki kukusikia wewe na...
  8. mwami ndalibanye

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kigoma (Waha) na uvumilivu wa maisha

    kila kabila lina sifa na madhaifu yake.
  9. mwami ndalibanye

    JamiiForums Tanzania Kigoma JF users connect

    naitwa james ndalibanye makazi dar es salaam ila nyumbani heru juu kasulu
  10. mwami ndalibanye

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    hakupewa barua ya kuitwa polisi sio kienyeji enyeji
  11. mwami ndalibanye

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina degree ya marketing

    Habari wandugu nina first degree ya marketing natafuta pa kujishikiza.
  12. mwami ndalibanye

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ushauri kuhusu MABOTO microfinance

    nipe namba ya simu na nielekeze mahari mlipo
  13. mwami ndalibanye

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ushauri kuhusu MABOTO microfinance

    mi pia nina shida ila ni mtumishi wa umma sitaki kutumia kadi ya gari
  14. mwami ndalibanye

    JamiiForums Tanzania Mke wangu alinifanya niwe mchawi

    unitag tafadhari
Back
Top Bottom