Ninashida ya mkopo kwa ajili ya kuendeleza biashara zangu na sikuwahi kukopa taasisi yoyote ya kibenki lakini kwa sasa nahitaji mkopo.
Nimetembelea taasisi za kibenki tatu lakini kuna masharti magumu sana na wengine kama CRDB hawakopeshi kabisa mpaka sasa.
Nimekutana na taasisi binafsi iitwayo MABOTO MICROFINANCE hawa jamaa wanatoa mkopo wenye marejesho ya riba ya jumla ya 50% kwa mda mliokubaliana e.. ukikopa 6,000,000 Millions utarejesha 9,000,000.
Kwangu nmeona n nafuu kuliko hesabu za benk kama NMB ambapo kwa hicho kiasi e.g 3 years unarejesha zaidi ya 10,000,000 Millions ukiacha mbali gharama za INSURANCE, processing n.k
Nahitaji ushauri wa kitalaam kabla sijafanya maamuzi haya.
Msaada wenu please