Wanawake wa Kigoma (Waha) na uvumilivu wa maisha

Uvumilivu unatokana na malezi.Kigoma familia nyingi tumezaliwa na kukulia katika umasikini kwa hiyo shida na tabu sio kitu kigeni kwa mzaliwa wa Kigoma.Ndio maana mabinti wengi(sio wote) wa kigoma ni wavumilivu.Mimi mwenyewe huyu binti nilie nae nimvumilivu sana ingawa sio wa Kigoma but mimi niwakigoma na nampango wakuja kuoa huyu huyu.
 
vipi kuhusu ufitini...so wanawake si wanaume wote wafitini...vilivyo vifupi sasa kwa ubishi na ujuaji..kila kitu atataka ufanye atakavyo yy
Kigoma hakuna mjuaji bali wapo wenye misimamo akisema noo ni noo.Halafu ufupi unatokana na hormone na mazingira kwa mbali.Kuhusu ufitini ni hulka ya mtu na malezi na ndio mana mkuu wa mkoa ni mfitini lakini sio muha(umeshamfahamu.)
 
Habarini wana Jamvi
Katika wanawake wengi nliowapitia nimegundua ni wa kabila Moja tu kutoka kigoma Waha ndo wavumilivu katika maisha na hawana Tamaa sana hata ukiwa huna kitu mwanamke wa kigoma anakuvumilia sio kama wanawake wa pwani na mikoa mingine kama ya kaskazini ambao wamejaa Tamaa
Kuna rafiki zangu watatu waliolea kaskazini lakini walichofanywa ni balaa mwanamke anasubiri mgombane uende kazini ,huku nyuma kaita fuso na kubeba kila kitu
Heshima kwenu wanawake wa kigoma
Umesahau wivu uliopita kiasi
 
Hahahaaa! Kwa hiyo kaangalia upande mmoja wa shilingi sio
Ni kweli ni wavumilivu, ni kweli ni wachapa kazi, wanapenda kuwa na watoto wengi, ni kweli hawana makuu lakini hawajihangaishi kutafuta. Wanaridhika kirashisi hawapendi makuuu.
 
Back
Top Bottom