Recent content by mwalimu.

  1. M

    tatizo la walimu ni umaskini

    cwt, iko mbali sana na matawi, halafu ukiwachanganya walimu wote kuanzia cheti hadi degree hawawezi kuiva pamoja;nashauri kamati za mgomo ziundwe kila wilaya
  2. M

    The ufisadi of udom

    du rudi dasarani bwana!
  3. M

    Wanafunzi udom walia njaa, bodi ya mkopo imewasahau/ watelekeza!!

    unafikiri haki yako utaletewa kwenye sahani? nyie ni machizi tu, si mlitoa mchango wa campaign? vumilieni serikali yetu tukufu haina pesa.
  4. M

    serikali isipowalipa walimu ndani ya mwezi huu wanagoma

    professional teachers hawagomi, wao furaha yao kubwa ni kufundisha watoto sio pesa. mkoba na timu yake ni ma-mediocre kwani ile nyuma ya walimu waliyo jenga pale dsm ni ya nini?
  5. M

    Diwani wa Monduli na M/kiti wa UVCCM Monduli ndani ya CHADEMA!

    Ili taarifa ithibitike kuwa ya kweli shusha ushahidi hapa. kwa sababu,"No research no right to speak / write".
  6. M

    Hoja za Chadema zinapojibiwa kwa MATUSI, [video]

    lusinde apelekwe the hegue, hafai kuitwa mheshimiwa, nadhani hata watoto wala mkwe hana.
  7. M

    Rais obama amtaja mfanyabiashara wa madawa ya kulevya mwanamke wa kitanzania aishie Mbezi

    Du! Bora obama apewe dunia atawale ataiweza halafu akina magamba wawe sungusungu. Obama akiamua anaweza kumaliza huu mtandao wa madwa ya kulevya kumbe. Keep it up obama, umestahili ile tuzo ya amani ya nobel. With thanks.
  8. M

    Kanisa la TAG Kaskazini Pemba lachomwa moto

    tatizo ni sera ya uislamu ya jino kwa jino. Ila wajue wanajitafutia laana wao na vizazi vyao. Mungu awasamehe bure waliofanya kitendo hicho.
  9. M

    Udom imegeuka jangwa.

    Ni siku ya3 wanafunzi wa education hawajapata maji. Kwani udom ni social na infomatics tu? Wadau naombeni muwaambie DOWASA chuo hakijafungwa chote. Au hawasomagi JF?
  10. M

    Nape: Bajeti Mbadala ya Kambi ya Upinzani inadhihirisha uongo wa CHADEMA

    nape, umelaaniwa, na kizazi chako pia kitalaaniwa. ungejua wafanyakazi wa sekta ya uma wanavyoishi kwa tabu na hizo laki na30 kam kima cha chini ungenyamaza. nipigie bajeti ya matumizi ya mwezi ya ngazi ya mshahara ya chini, uniambie wanaishije. kwani wakienda dukani wao wana bei zao na wabunge...
  11. M

    UDOM: Degree programmes ambazo zimeruhusiwa kufanya Practical Training na ambazo zimenyimwa

    Natural science pia hawaendi field na muda huu wako barabarani na mabango yao. Ilikuaje dean of faculty awape barua za kutafuta taasisi za kwenda kufanyia halafu waje wawageuke? Huu ni uzezeta! Hapo hadi kieleweke, kazeni buti wadogo zangu, haki ni yenu.
  12. M

    UDOM vs UDSM

    Acheni ujinga wa kushabikia udom vs udsm. Kuna matatizo ya kimsingi yakushughulikia. Mkimjibu zuzu kama huyu ni ujinga. Ni kama yule mtu alikua anaoga mtoni halafu kichaa akakwapua nguo zake halafu akaanza kumkimbiza uchi mtaani. Kati yao nani ataonekana kichaa?
  13. M

    Matunda ya shule za kata

    Kila kitu kina negative na postive. Tuwape muda.
  14. M

    Dr. Slaa aingilia kati Uchaguzi wa BAVICHA; Magazeti yalalamika

    Hii taarifa haiko wazi. Inakua kama personal zaidi. Weka wazi mkubwa.
  15. M

    Kwako marehemu baba wa taifa mwl. JK Nyerere

    Kila kitu kimepanda bei. Hata mahari imepanda. Sasa vijana watoaje?
Back
Top Bottom