Hoja za Chadema zinapojibiwa kwa MATUSI, [video]

tatio sio yeye bali ni chama alichopo kinapokosa hoja za msingi, busara ndogo aliyonayo na kutoelimika.
 
Kwa kuwa huyu jamaa ni mjumbe wa kamati kuu..... ya Chai Chapati Maharage.... nawaonea huruma sana waliomteua. Inaonekana nao wanaupeo kama wake. Poleni sana kwa kuwa na msiba unaotembea.
 
kwa kweli siasa za Tanzania ninazishanga sana kilasehemu zinawekwa sheria kila sehemu hazifuatwi hata kidogo jamani sheria za uchaguzi zinaruhusu mambo haya na tume ipo wapi?haya bana tunajuwa kuwa umebaki muda mchache waachie ngazi.hii cd yake awekewe katika kampeni huko katika jimbo lake wakati wakampeni na tuone kama atachukuwa hata mkiniweka mimi nawaambia nachukuwa jimbo lake hali nimbaya jamaa zangu duh.
 
Ndugu wana JF naomba mtoe muda wenu kido msikilize huyu Mbunge wa CCM akijibu hoja kwa matusi. Hata kama Chadema nao walitukana, hii sio suluhisho kabisa, ni aibu.

i am very disapointed with such a shameless statements pronounced infront of grown ups and children by the mp.
Lusinde, you are so stupid. Such words cannot be uttered by such a grown person like you let alone an MP.You are disgusting man. And am assuring you, you will never get back into parliament.I think you lack some senses, seek some medical advice please.Unazungumza maneno ya kipumbavu mbele za watoto.Shame on you stupid mp.


hapa nipo ktk dakika ya 5 lakini mdomo uko wazi cjui nikifika mwisho itakuwaje. hv huyu alichaguliwa ki halali kweli!? kama ni kweli basi waliomchagua hawa akili vlevle.
 
Last edited by a moderator:
Dah dat lusinde ajielewi kwel ccm wanama mp ambao awastaili maana uyu kitumbo wth stupid word anajiona kafia bt hpe chadema gona make it 4real wth ths knd of mps aaaha we gona be da heroes next uchaguz.baba zma ovyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom