Wanafunzi udom walia njaa, bodi ya mkopo imewasahau/ watelekeza!!

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,684
2,157
Ni ajabu na kweli, mpaka sasa hata majina ya kusaini hayajatoka! Tarehe iliyotakiwa pesa ziwe tayari ni tar.3 may! Mpaka sasa kuna siku 17 zaidi! Hakuna taarifa zozote za pesa hiyo ya kujikimu kwa wanafunzi zinakuja lini wala wanasaini lini angalau waishi kwa matumaini! Na kwa mfumo wa sasa, hata majina yakija leo ili watu wasain, kuna wiki moja mbele! Mawaziri wanakula pesa tuu! Hawa vijana wanaambiwa Pesa hakuna!!
 
unafikiri haki yako utaletewa kwenye sahani? nyie ni machizi tu, si mlitoa mchango wa campaign? vumilieni serikali yetu tukufu haina pesa.
WEY6jiO+4FYRCLnnHLORc45vPcopdBaJ1prZ4zpGGPaWuuVMAztP4dTVgitIalsAAAAAElFTkSuQmCC
+WWQAAAAASUVORK5CYII=
nJSAAAAAElFTkSuQmCC
 
Ni ajabu na kweli, mpaka sasa hata majina ya kusaini hayajatoka! Tarehe iliyotakiwa pesa ziwe tayari ni tar.3 may! Mpaka sasa kuna siku 17 zaidi! Hakuna taarifa zozote za pesa hiyo ya kujikimu kwa wanafunzi zinakuja lini wala wanasaini lini angalau waishi kwa matumaini! Na kwa mfumo wa sasa, hata majina yakija leo ili watu wasain, kuna wiki moja mbele! Mawaziri wanakula pesa tuu! Hawa vijana wanaambiwa Pesa hakuna!!

Kwani wanachuo ni wa UDOM pekee yenu? Mbona hatuoni malalamiko ya vyuo vingine? au nyie ndio bora zaidi ya wengine? sawa ni haki yenu ila mnazidi mno na hiyo UDOM. TUMECHOSHWA NA POST ZA UDOM JF.
 
Ni ajabu na kweli, mpaka sasa hata majina ya kusaini hayajatoka! Tarehe iliyotakiwa pesa ziwe tayari ni tar.3 may! Mpaka sasa kuna siku 17 zaidi! Hakuna taarifa zozote za pesa hiyo ya kujikimu kwa wanafunzi zinakuja lini wala wanasaini lini angalau waishi kwa matumaini! Na kwa mfumo wa sasa, hata majina yakija leo ili watu wasain, kuna wiki moja mbele! Mawaziri wanakula pesa tuu! Hawa vijana wanaambiwa Pesa hakuna!!

Hata nyie leo mnalalamika? Mtakosaje pesa ya matumizi wakati mlikuwa nazo za kumchangia kikwete??? Mwambieni awakopeshe mtamrudishia bodi ikiwapa.
 
Ni ajabu na kweli, mpaka sasa hata majina ya kusaini hayajatoka! Tarehe iliyotakiwa pesa ziwe tayari ni tar.3 may! Mpaka sasa kuna siku 17 zaidi! Hakuna taarifa zozote za pesa hiyo ya kujikimu kwa wanafunzi zinakuja lini wala wanasaini lini angalau waishi kwa matumaini! Na kwa mfumo wa sasa, hata majina yakija leo ili watu wasain, kuna wiki moja mbele! Mawaziri wanakula pesa tuu! Hawa vijana wanaambiwa Pesa hakuna!!

ombeni ushauri UDSM mjue wao walifanya nini mpaka wanawaishiwa boom, halaf nyie mko wengi sana nategemea mtakua na sauti ya kuungurumisha selikari lakini cha ajabu mko kimya ka hamjui kinacho endelea!!!! KUMBUKENI KUA HAKUNA TAIFA/NCHI ILIYO JENGWA KI LELEMAMA BALI NI KWA KUPAMBANA NA MAOVU. MSISUBIRI KINA ZITO NDO AJE AWAPIGANIE, JISIMAMIENI WENYEWE. MPAKA MNATUTIA HOFU TUNAO TAKA KUJIUNGA NA VYUO MWAKA HUU.
 
ndio wakome ..wao si ndio walichangisha wakamchukulia mkubwa fomu ya uchaguzi?......mkubwa sasa hivi anakula bata na kina Obama huko nyie lieni tu ..kwa siku moja yeye na mkewe wanakamata per diem 10,000 $/= hajatoka?...ndio muamke nyie watoto wa maskini
 
Tatzo lako unaropoka kitu usichokijua!Nan kichaa wa chuo kikuu wa kumchangia vasco da gama!?Hzo n habari za magazetini na propaganda za magamba.Hela walileta wenyewe na wakatangaza wenyewe kwenye media!.HAKUNA ALIYECHANGA HELA KWA JK KUMLIPIA FOMU NI UZANDIKI NA UZUSHI MTUPU.
 
bado tu hadi leo hii? kwani hizo ela zinapitia kwanani kwanza? otherwise, poleni sana madogo, napata uchungu nikifikiria hasa wadogo zangu wa kike wanavyoishi sasahivi hapo udom.....
 
Back
Top Bottom