tatizo la walimu ni umaskini

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
161
walimu
wakiwa wanaelekea kwenye mgomo, kamwe hawatafanikiwa lazima wengine
wasaliti kuendelea kufundisha, hii yote inatokana umaskini walionao
kuanzia familia mpaka ukoo. Mwalimu hana ujasri wa kugoma, kutokana na
hali yake duni. Asilimia kubwa ya hawana mbele wala nyuma yaani msingi
wa maisha yao ni mbovu. Hali hii imesababisha wakimu waanze kupigana
mkwara kuwa ambao hawatogoma watawadhibu hata kwa kipigo mfano mkoa wa
kigoma. Mgomo ulipita nikiwa mpwapwa secondari mwl mmoja aliwahi sema
hawezi goma kwani hana anachoidai serikali kama mshahara unaridhika nao
kutokana na uwezo wa serikali ya tanzania. Ndio maana serikali haina
presha yoyote inajua ni upepo tu. Pole walimu kwa hali ngumu ya maisha.
 
Mkuu umeongea uongo na ukweli kwapamoja kabisa yaani walimu kutogoma siyo kuwa ni maskini tu bali ata taaluma yao inawaponza.Yaani ni kazi ya kujitoa kama padri au sheikh. Hivi padri au sheikh anaweza goma kufundishw waumini?
 
Mkuu umeongea uongo na ukweli kwapamoja kabisa yaani walimu kutogoma siyo kuwa ni maskini tu bali ata taaluma yao inawaponza.Yaani ni kazi ya kujitoa kama padri au sheikh. Hivi padri au sheikh anaweza goma kufundisha waumini?
 
walimu
wakiwa wanaelekea kwenye mgomo, kamwe hawatafanikiwa lazima wengine
wasaliti kuendelea kufundisha, hii yote inatokana umaskini walionao
kuanzia familia mpaka ukoo. Mwalimu hana ujasri wa kugoma, kutokana na
hali yake duni. Asilimia kubwa ya hawana mbele wala nyuma yaani msingi
wa maisha yao ni mbovu. Hali hii imesababisha wakimu waanze kupigana
mkwara kuwa ambao hawatogoma watawadhibu hata kwa kipigo mfano mkoa wa
kigoma. Mgomo ulipita nikiwa mpwapwa secondari mwl mmoja aliwahi sema
hawezi goma kwani hana anachoidai serikali kama mshahara unaridhika nao
kutokana na uwezo wa serikali ya tanzania. Ndio maana serikali haina
presha yoyote inajua ni upepo tu. Pole walimu kwa hali ngumu ya maisha.

na ccm ni wajanja, wanaajiri form iv, na kumpa training kidogo ya grade a. Mtu mwenye elimu hiyo, ana ajira moja tu, labda ongeza na kilimo au ujasiria mali, lakini yeye mwenyewe hauziki.

Ifikie hatua, mwalimu wa shule ya msingi awe kidato cha sita with diploma
 
cwt, iko mbali sana na matawi, halafu ukiwachanganya walimu wote kuanzia cheti hadi degree hawawezi kuiva pamoja;nashauri kamati za mgomo ziundwe kila wilaya
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom