Kanisa la TAG Kaskazini Pemba lachomwa moto

Jombi Jombii

Senior Member
Jun 4, 2011
185
10
Taarifa ya habari ya jana usiku saa 2 ya Radio 5 fm imetangaza kupitia mtangazaji wao aliyepo PEMBA Ndugu Masanja Mabula kuwa watu wasiojulikana wameliteketeza kwa moto kanisa la Pentekoste TAG huko kaskazini Pemba juzi usiku.Lakini amemkariri kiongozi mmoja wa Kanisa hilo akidai wanawahisi baadhi ya watu lakini hawatachukua hatua bali wanamwachia Mungu.

Je, huu sio muendelezo wa kuwabagua wabara na kuwatisha ili wakimbie visiwa hivyo kwa hoja ya kutaka ZNZ kujitenga na Muungano ilihali wa ZNZ wanafanya mambo yao huku bara bila bugudha?
 
Mkuu,

Hiyo si vita dhidi ya Kanisa (Ukristo) bali ni vita dhidi ya MUNGU.

Iko siku BWANA atachoka na kuamua kuachilia hukumu dhidi ya hao wanaompinga, na hapo ndo itakuwa kilio na kusaga meno....

Uzuri mmoja wa Ukristo ni kutolipa Kisasi, kwani "............kisasi ni kazi ya BWANA........"
 
Tabora pia kanisa kuu la TAG liliwahi kubomolewa na haikuwa kazi ya waislamu wala wazanzibar, ni vyema tukasubiri tujue chanzo ca moto kabla ya kutoa comment yoyote ukizingatia TAG wanaistoria ya migogoro ya ndani.
 
-Siyo migogoro!mgogoro unaojulikana historically ni ule wa 1979-81 uliozaa kanisa la EAGT. Baada ya hapo hakuna mgogoro bali TAG imepanuka sana hadi Unguja na Pemba-TAG is fastest growing among Pentecostals with a sustained educated leadership.Swala la Pemba sio mgogoro wa ndani-kuna kiti kingine outside TAG, time will tell.
 
Tabora pia kanisa kuu la TAG liliwahi kubomolewa na haikuwa kazi ya waislamu wala wazanzibar, ni vyema tukasubiri tujue chanzo ca moto kabla ya kutoa comment yoyote ukizingatia TAG wanaistoria ya migogoro ya ndani.

hufanani na comment yako
 
Somalia, nigeria and now coming in tz. Let me believe in GOD only and not religions.
 
Sijui kama tatizo ni muungano. Nadhani tiss na police wanatakiwa kuufahamisha umma watz tatizo hili la uchomaji wa makanisa chanzo/vyanzo vyake nini. Wasituache kila mtu akiwa na hisia zake.
Wengine watasema ni udini, muungano, nk. Hakika mwelekeo huu si mzuri. Hii inagusa imani na itafika mahali uvumilivu utakoma. Wengine hautakuwa na mwingine wakumlaumu ila vyombo vya ulinzi na usalama. Nimesema.
 
Mwezi wa 5 maduka ya wabara yalichomwa mpaka leo taarifa kamili hamna now wamehamia kwenye makanisa sio ngoja tuone. Ni kuwasamehe kwani hawajui watendalo.
 
Huwezi kupigana na MUNGU na ukashinda. Kama unaamini dini yako ni sahihi, kwa nini ufuatilie ya mwenzako? hii inatilia mashaka juu ya uhusiano wa dini yako na MUNGU.
 
WAPEMBA kuchoma moto kanisa wala sishangai, kwakua wanadhambi ya kubaguana na waunguja inawatafuna, na kwakua waliisha onja nyama ya mtu, kamwe hawataacha kuendelea kula.....
wanahofu labda kuwa kwa kuachia kushamiri kwa makanisa watu wengi huenda wakawa converted to Christianity, kitu ambacho si dhambo kabisa, Imani haipaswi kuwa gunia la miiba, acheni ujinga nyie mnaochoma moto nyumba za Ibada.
 
wamechoma kanisa, je ni udini au siasa? tatizo la msingi hapa ni jina la YESU. Hilo jina linawatesa sana baadhi ya watu na hawalitaki kulisikia kabisaaaaa. Mapepo yana kawaida ya kuchefuliwa na hilo jina, mtu mwenye mapepo hata siku moja hawezi kustahimili hilo jina likitajwatajwa in his neighborhood.
 
Poleni sana Wapendwa. Mungu atawalipa kwa yote mnayo pata kwa sababu ya Jina lake. Yesu ni Mungu.
 
Taarifa ya habari ya jana usiku saa 2 ya Radio 5 fm imetangaza kupitia mtangazaji wao aliyepo PEMBA Ndugu Masanja Mabula kuwa watu wasiojulikana wameliteketeza kwa moto kanisa la Pentekoste TAG huko kaskazini Pemba juzi usiku.Lakini amemkariri kiongozi mmoja wa Kanisa hilo akidai wanawahisi baadhi ya watu lakini hawatachukua hatua bali wanamwachia Mungu.

Je, huu sio muendelezo wa kuwabagua wabara na kuwatisha ili wakimbie visiwa hivyo kwa hoja ya kutaka ZNZ kujitenga na Muungano ilihali wa ZNZ wanafanya mambo yao huku bara bila bugudha?

It is so sad...... let us wait and see. Lets be patient not to do the same for mainland pembas......
 
Taarifa ya habari ya jana usiku saa 2 ya Radio 5 fm imetangaza kupitia mtangazaji wao aliyepo PEMBA Ndugu Masanja Mabula kuwa watu wasiojulikana wameliteketeza kwa moto kanisa la Pentekoste TAG huko kaskazini Pemba juzi usiku.Lakini amemkariri kiongozi mmoja wa Kanisa hilo akidai wanawahisi baadhi ya watu lakini hawatachukua hatua bali wanamwachia Mungu.Je, huu sio muendelezo wa kuwabagua wabara na kuwatisha ili wakimbie visiwa hivyo kwa hoja ya kutaka ZNZ kujitenga na Muungano ilihali wa ZNZ wanafanya mambo yao huku bara bila bugudha?
tatizo ni sera ya uislamu ya jino kwa jino. Ila wajue wanajitafutia laana wao na vizazi vyao. Mungu awasamehe bure waliofanya kitendo hicho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom