Udom imegeuka jangwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udom imegeuka jangwa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwalimu., Jun 18, 2011.

 1. m

  mwalimu. Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni siku ya3 wanafunzi wa education hawajapata maji. Kwani udom ni social na infomatics tu? Wadau naombeni muwaambie DOWASA chuo hakijafungwa chote. Au hawasomagi JF?
   
 2. X

  XWY BOYZ Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona nyie mamlaka ya maji mnataka ku2fuzisha, kaen tena had kesho muone
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  poleni kwa ukame wa maji walimu wenzangu.
  inawezekana ni sehemu ya mafunzo kwani huku mtakakokuja ni pakame pia.
  na bahati mbaya hatuna wa kumgomea.
   
 4. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  nawasikitikia sana kizazi hiki cha wanafunzi wanaosoma Udom, wanapata taabu kubwa sana,,, ila Mungu yupo pamoja na ninyi, ipo siku vilio vyenu vyote vitasikiwa na haki yenu mtaipata,,, jana nashangaa sana kusikia taarifa kwamba wanafunzi waliomaliza undergraduate hapo hapo udom wakiapply 4 masterz hapohapo udom wanagoma kuwachukua, kisa hawakufanya field wakiwa undergraduates,,, sasa kama hapo hapo wanakataliwa, ni wapi watakapokubaliwa?? Hata uko makazini itakuaje bandugu?? Kilio kikubwa
   
Loading...