Recent content by mwalimu tajiri

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania....

    Nimekuwa mkereketwa mkubwa wa kupinga mihadhara anayo endesha shehe ponda but kwahili lilomtokea nasema MUNGU NDIYE HALKIMU......hajatendewa haki kabisa
  2. M

    JamiiForums Tanzania PINDA aingia rasmi mbio za urais CCM?

    pinda anafikiri uraisi ni umonitor maana kwa maandamano haya ya chadema atakuwa anapandisha bp tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya mzimu na pepo

    Mapepo ni nini? Ni mali ya shetani anbaye ni mtawala wao, yesu anasema ibilisi na malaika zake, ni malaika walioanguka au kuasi. 'na malaika wasio ilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Airtel linawakejeli wenzao TIGO

    tigo hizo ni mbwembwe tu......mambo yote yatosha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Niite CHIZI sina AKILI ila ukweli ni kwamba HAKUNA binadamu yeyote ALIYEFIKA MWEZINI

    kwakweli umenifungua kichwa hapa sasa nimelewa uhuni wa hawa bandugu
  6. M

    JamiiForums Tanzania JK apanda chati DRC!!!

    Kwa hilo yangu macho
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Nassari Joshua akamatwa na Polisi na kuachiwa kwa masharti

    Hizo ni hasira za kukosa kula za NDiooo kule arusha sasa zinaamia kwa wa bunge haibuuuuuuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kukaribishwa "chit chat"

    karibu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya riwaya na tamthiliya

    No comment hapo maelezo makini hayo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shairi maalumu kwa Mwigulu Nchemba

    hakika unastahili pongezi kwa mashairi yako nadhimu hongera tuonane 2015
  11. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kamsamba unaweza kuja?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ili kuweza kuachana na Adha za Ualimu

    acha kwanza wewe tuone
  13. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anaye taka tubadirishane kituo kutoka kyela kwenda mbeya mjini tuwasiliane
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Kibanda awataja waliomtesa

    ushirikiano ni zero na wakiendelea na tabia hiyo watakwisha
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mipango ya kuwazuia Dr Slaa na Lowassa kugombea Urais yaiva.

    kumbe umemshitukia huyu mamruki.....
Back
Top Bottom