ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Mkuu Tigo wezi sana na hakuna mtandao wa kihuni kama Tigo. Kwa kiasi kikubwa isingekuwa tigopesa ningekuwa nimetupilia mbali simcard Yao. Kwasasa ndo mtandao aghali kuliko yote TZ
Nakubaliana na ww mkuu, sasa hv tigo umekuwa mtandao wenye gharama kuliko yote, wakti mwanzo haukuwa hivyo.