Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania....

Ndugu Wanabodi,

Napenda kuwaambia Watanzania wapenda AMANI na UTULIVU kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania na kuwa ni Mtu wa Burundi aliyeingilia Kigoma na kuzamia Dar es salaam. Bw. Ponda analipwa na baadhi ya Watanzania walioko nje ya nchi kuratibu shughuli zote za vurugu kupitia mgongo wa dini ya Kiislmu ambayo hata siku mmoja mafundisho yake hayaelekezi watu kufanya vurugu na mauaji bali AMANI.

Bw. Ponda, anafadhiliwa na watu hao walioko USA, UK na nchi za Uarabuni. Nawathibitishia hili manake hata wakati wa sensa Bw. Ponda kupitia pesa hizo hizo aliweza kutoa machapisho tena za gharama akazisambaza nchi nzima kwa kutumia vijana ambao anawalipa yeye na yeye mwenyewe akiwa anazunguka katika baadhi ya mikoa kama ya Kigoma na Tanga. Wafadhili wake wengine tunawafahamu hadi kwa majina, akibisha tutamwaga hapa...!

Nimeona niwaambie hili ili mjue kuwa Ponda siyo kuwa natetea maslahi ya Waislamu bali TUMBO lake, pili, hana uchungu na vurugu ambazo anaziendesha hapa nchini. Tumekuwa tukirudi nyuma kwa uchumi siyo tu kwa sababu ya Rais wetu lakini pia kutokana na watu wachache kama hawa wakina Ponda.

Nina imani kuwa vyombo vya USALAMA vinafahamu hili lakini wameshindwa kuchukua hatua.

NOTE >>>>>Ponda amelelewa toka Serikali ya Mwinyi, kuanzia vurugu za Mwembe Chai, Kiongozi Mkubwa wakati huo aliingilia kati kukamatwa Bw. Ponda na kumficha, unajua ni kwa nini???
>>>>>Ameendelea kutoa AMRI kwa Serikali ya KIKWETE na serikali hiyo KUTII amri za Bw. Ponda! Wajua ni kwa nini?

PEPO lako la UZANDIKI halijakutoka bado?
 
Kk hyo uwenda ikawa kweli manaa huyu jamaa hana uzalendo kabisa wa kudhamini nchi yake

Watanzania wenzangu kweli mnamatatizo, mimi nawaambia UHALISIA wa kitu bado mnasema UHUENDA ikawa kweli. Huo ndo ukweli jamaa anatumiwa kutuvuruga sisi Watanzania.
 
watanzania kwa kupenda kijitisha na vivuli vyao sioni sababu ya kungoja Ponda aje kukanusha, kama una full story na data za kutosha then weka hapa, but ukiona mtu anatishia kivuli chake basi ujue huyo hana mpya so mtoa mada hana analojua zaidi ni story za vijiweni he he he na chukukia sana watanzania wanao penda kutojali muda wa wenzao

yani tusome habari yako ambayo haina any logic kama hutaji majina then wategemea tujadili nini, kama Ponda si raia unafikiri wewe utakuwa unahabari zaidi ya wizara ya mambo ya ndani na hapo hakuna habari mpya kwa kuwa miaka ya nyuma pia alishaambiwa si raia then ukiona hadi sasa yupo that mean ni raia halali wa tanzania.
 
Haya ni maneno ya kawaida toka kwa wachungaji kama wakina Mtikila, walianza kwa Mkapa, na kwa kila mtu wasiekubaliana na mawazo yao. usiwasikilize hawajui wanenayo.
 
HATA NIPIGWE BAN KWA MARA YA KWANZA.
pamoja na kuwa mimi ni mkristu(In the name of Almight God,I justify).
NASEMA MLETA UZI NI MJINGA,--------,MZANDIKI NA HAITAKII MEMA NCHI HII KWA HUU UPUMBAVU usio hata na chembe ya ushahidi kwa yote anayoyaeleza,na huu ni uchochezi,MODS TRASH THIS reckless post.
YALIYOMTOKEA PONDA NI MAMBO YA KULAANIWA NA KILA ANAEMUGOPA MUNGU.
hata asingekuwa mtanzania so what?PIGENI TU,ndo madhara ya ujinga wa waziri mkuu pinda.

Tindikali,Mabomu,risasi,madawa ya kulevya,ufisadi,utekaji.
WATUHUMIWA WOTE WAPO HURU.
Huu n udhibitisho mwingine kuwa tuna viongozi dhaifu,serikali dhaifu,MUNGU TUSAMEHE WATANZANIA HAWAJUI WALITENDALO
 
Madhara ya Pombe za Usiku
 
Inawezekana Tanzania ni nchi inayaoongoza
kwa kuwa na wendawazimu na maskini wa fikra!
Jamani ukijua kuwa wewe huoni mbali zaidi ya
tumbo lako basi usiwe unachangia hoja za wenye
akili kubwa!
 
Watanzania wenzangu kweli mnamatatizo, mimi nawaambia UHALISIA wa kitu bado mnasema UHUENDA ikawa kweli. Huo ndo ukweli jamaa anatumiwa kutuvuruga sisi Watanzania.

Mimi kwa hilo unalolisema, sina shaka yeyote Ndugu. Uko sahihi MNO.
 
Mbona hii post ya siku nyingi halafu imejaa matusi tu
Kwani Post za siku nyingi hazijadiliwi? watu wanamzungumzia Yesu na Mitume wa miaka mingi... na wengine hutumia hadi dhihaka na matusi vile vile washangaa nini?
 
Ebu wadau stori za vijiweni msituletee humu kwenye jamvi, kama umekosa mada za kuandika ni bora ukatulia tu usituletee mada ambazo hazina detail za kutosha.............. wewe Ponda umemjulia wp, kwa nn serikali haijasema sio mtanzania ila ww ndo una uchungu sana............
 
Ukweli husemwa:

Kama madai uliyoyatoa ni ya kweli, basi utakuwa ana mizizi imara ndani ya serikali ya Tanzania inayomfanya kuendesha shughuli za kidini na kijamii bila wasiwasi nchini huku akifahamu kama ni mhamiaji haramu.

Only in Tanzania.

Wewe jamaa huijui dini..Wewe ni mshabiki wa dini nikikuuliza Wewe Sunni au Shia utasema Sunni ambaye unafuata mambo kutoka Iran..so nijibu nijue Kama Wewe kweli ni muumini au mshabiki
 
Nimekuwa mkereketwa mkubwa wa kupinga mihadhara anayo endesha shehe ponda but kwahili lilomtokea nasema MUNGU NDIYE HALKIMU......hajatendewa haki kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom