Naomba kukaribishwa "chit chat"

Naomba kukaribishwa "chit chat"

jamani viongozi akina Baba V mkithubutu kumuingiza huyu mtu hapa cc tutakuwa rip.jpg wote hapa hivyo take care na jambo hili jamani maana hiyo nick lake majanga bora alibadilishe kidogo

cc: Nicas Mtei, Ruttashobolwa, Bujibuji, Mamndenyi, Asprin, monaco, Kipaji Halisi, Erickb52, amu, Madame B, Lady doctor, Paloma, Mtambuzi, Mentor, Passion Lady,
Hi,wapendwa wa Jf kutoka sehem zote za Tanzania na nje pia,naomba kukaribishwa katika ukumbi huu, company yenyu ni muhim sana kwani sehem hii natumaini itanipatia marafiki mbalimbali na wakweli japo midaoni wengi wanachukulia kama sehem ya masihara lakini cyo mbaya kwani hata katika jamìi mungu katuumba na mapungufu kwa kila mmoja.ROCK CITY ndiyo maeneo yangu ya kujidai ingawa cyo home by nature"I LOVE U"
 
Last edited by a moderator:

Wakaribishwa sana...
 
karibu
 
Karibu sana chit chat. VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom