Recent content by mwaka73

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kusamehe na kutolipiza kisasi, J. KIKWETE anaweza?

    Anaweza kusamehe. Mbona alimsamehe mzee Mangula sasa mzee wetu kishuzi hicho!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

    Binafsi naona kama wamefahamu makosa yaliyokuwa yamewakabiri basi wasamehewe kwani nia si kuwafukuza chamani no! Ila ni kutaka kuondoa mamluki na wasaliti ktk hizi harakati zetu kwani kinachomsumbua ZITTO ni ubinafsi tu na kujiona ni nyota. Kumbe bado safari ni ndefu katika kuupata uhuru wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Dr Slaa ni Mwanasiasa hatari

    Tuko pamoja katibu mkuu wetu waTz tuko pamoja nawe popote uwe ktk milima,mabonde,mapori,misitu, na nyikani uhuru wa kweli haupatikani kiurahisi. Usirudi nyuma kwa hizi mbinu za hawa wakoloni weusi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Itv wame edit picha -kigoma

    Kakosa mada huyo tuendelee na issue nyingine wana JF
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama kawaida wasio na usingizi karibuni

    Tuko pamoja mwana mi hapa nagaragara tu kwa sababu ya hiyo.najiuliza kama Goba kuna joto je huko Sinza,kwa Tumbo na Keko Inakuaje poleni sana ndugu zangu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kuoa/kuolewa kuwa makini na hili kabila.

    Achaneni nae huyo kaishiwa fikra.
  7. M

    JamiiForums Tanzania JF Get Together Party kufanyika Kebby’s Hotel Jumamosi 25 Januari 2014, michango imeanza kupokelewa…

    Hata sisi tusio n'a Majina makubwa tunaruhusiwa?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna haja ya kuzaa?

    Kuna prof mmoja wa muhimbili anafanyia kazi maeneo ya upanga ni mzuri kwa tatizo hilo shuka Palm beach kisha uliza kwa prof Kiasi utaelekezwa. Pole sana na usikate tamaa kwani ni wengi wapo kama wewe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kaburu Usije Kuiona Maiti Yangu-Julio

    Sina hakika kama waislam wanaaga maiti
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nyie mnakwenda ufukweni kwa picha za harusi...? kwetu tunafanya hivi.....!

    Kwetu harusi zinafanyika nyumbani tu halafu chakula kinaletwa na Ndugu na majirani na kikibaki wanandugu wanagawana tunaita kubhatika!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sasa najiunga kuwa mwanachama rasmi wa Chadema

    Naungana na wewe mtu wangu kwani nami ni miongoni mwa vijana ambao tunataka mabadiliko lakini sipo chama chochote cha siasa wakati ndio huu mkuu kwani chadema ni mpango wa mungu
  12. M

    JamiiForums Tanzania "Tulihongwa mabirika ya chai"lngiri juu Rorya

    Tuko pamoja tushikamane ili tuupate uhuru wa kweli kutoka kwa hawa wakoloni weusi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hatuongei siku ya tatu leo

    Pole sana wangu Lakini kuwa makini usilipize kisasi kwani atakuwa na jambo linamsumbua kichwani hilo ni jambo la kawaida kwa binadamu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya 'kubambia' wadada kwenye daladala

    Ongera zako!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa style hii folen haiwezi kuisha dar

    Kweli kabisa mkuu
Back
Top Bottom