Wazo zuri aiseee ila inabidi tuangalie pia mda wa kutoka kazini kwani naisi kama mama atachelewa kutoka kazini so wakimngojea watasubiria sana. Foleni za hapa Dar tujenge fly over TAZARA , UBUNGO, KARUME, AKIBA etc TANROAD MKOA uarakishe uwekwaji wa lami katika barabara za kinyerezi-malamba mawili-mbezi na pia mbezi-goba-tegeta hii pia itapunguza foleni asa Morogoro road.
...serikali ikihamia Dodoma foleni itakuwa ni historia D'Salaam.
Kwa hiyo Dodoma kwenyewe ndiko wanakohitaji foleni? Dawa ya foleni ni kuimarisha miundombinu yetu ya barabara.Mfano barabara zote za mitaani (feeder road)ziwe na rami pia kuwepo na altenative route....serikali ikihamia Dodoma foleni itakuwa ni historia D'Salaam.
Nice observation! Mama hana "nyumba ndogo". Wamama ni wema, wanaume ndio wazinzi
Mhhh, alisahau kusema "mama anabaki nyumbani na houseboy!"
Haitakaa itokee, labda Nyerere afufuke....serikali ikihamia Dodoma foleni itakuwa ni historia D'Salaam.
Kwa hiyo Dodoma kwenyewe ndiko wanakohitaji foleni? Dawa ya foleni ni kuimarisha miundombinu yetu ya barabara.Mfano barabara zote za mitaani (feeder road)ziwe na rami pia kuwepo na altenative route.
-Mfano barabara ile ya kutokea Mbezi Mwisho kupitia Kifuri,Kinyerezi na Segerea kutokea Airport inatakiwa itandikwe mkeka kwa hiyo kama kuna mtu anakwenda Airport, Vingunguti viwandani, Tazara mapaka huku maeneo ya Radio Tanzania na mpaka Bandarini akiwa anatokea maeneo ya Mbezi Kibamba na hata mikoani hana point ya kungangania Morogoro road
-Pia pale Kimara mwisho kuna barabara ya kutokea Segerea kupitia Tabata nayo piga lami, piga rami pia barabara ya kutokea Kimara Mwisho kupitia UD na kutokea Kimara Mwisho kupitia Goba, piga lami barabara ya Mbezi mwisho kupitia pori la Mabwepande, Madale mpaka Tegeta Wazo Hill kwa hiyo kama mtu anakwenda Bagamoyo haleti pua Morogoro raod.
-Tengeneza barabara ya juu kwa juu kutokea Ubungo Kibangu ipasue mpaka hata huko Kimara mwisho.
-Piga rami barabara ya kutokea Msasani kwenda Mikocheni kupitia pale Mikocheni TANESCO ili ije kuunganisha na Mwai Kibaki road
-Piga lami ile barabara ya Mbagala kwenda Kigamboni kupitia Mbagala kuu
Mwisho kabisa weka flyover mbili moja pale Ubungo mataa na nyingine pale mataa ya TAZARA
Tukianzia hapo basi tumeshinda hata bunge lijengwe Dar hakuna taabu
Amicus Curiae hujaeleza idadi na ubora wa barabara enzi za 'uchumi duni - 1980s' ziliwezaje kuhudumia wakazi wa huo mji bila hizo foleni na sasa uchumi 'ulivyokua' ni magari tu yanaongezeka na sio barabara za magari kupita!?...serikali ikihamia Dodoma foleni itakuwa ni historia D'Salaam.
Amicus Curiae tatizo la Tanzania sio idadi ya magari Bali uchache wa barabara. Kama umewahi kwenda miji mingine ya Africa utagundua Dar hamna bara bara. Cha kushangaza mpaka leo bado wanajenga barabara za 2lanes. Inasikitisha sana.
hehehehee,mdau umecomment kama mbunge au mwanasiasaKwa hiyo Dodoma kwenyewe ndiko wanakohitaji foleni? Dawa ya foleni ni kuimarisha miundombinu yetu ya barabara.Mfano barabara zote za mitaani (feeder road)ziwe na rami pia kuwepo na altenative route.
-Mfano barabara ile ya kutokea Mbezi Mwisho kupitia Kifuri,Kinyerezi na Segerea kutokea Airport inatakiwa itandikwe mkeka kwa hiyo kama kuna mtu anakwenda Airport, Vingunguti viwandani, Tazara mapaka huku maeneo ya Radio Tanzania na mpaka Bandarini akiwa anatokea maeneo ya Mbezi Kibamba na hata mikoani hana point ya kungangania Morogoro road
-Pia pale Kimara mwisho kuna barabara ya kutokea Segerea kupitia Tabata nayo piga lami, piga rami pia barabara ya kutokea Kimara Mwisho kupitia UD na kutokea Kimara Mwisho kupitia Goba, piga lami barabara ya Mbezi mwisho kupitia pori la Mabwepande, Madale mpaka Tegeta Wazo Hill kwa hiyo kama mtu anakwenda Bagamoyo haleti pua Morogoro raod.
-Tengeneza barabara ya juu kwa juu kutokea Ubungo Kibangu ipasue mpaka hata huko Kimara mwisho.
-Piga rami barabara ya kutokea Msasani kwenda Mikocheni kupitia pale Mikocheni TANESCO ili ije kuunganisha na Mwai Kibaki road
-Piga lami ile barabara ya Mbagala kwenda Kigamboni kupitia Mbagala kuu
Mwisho kabisa weka flyover mbili moja pale Ubungo mataa na nyingine pale mataa ya TAZARA
Tukianzia hapo basi tumeshinda hata bunge lijengwe Dar hakuna taabu
kuongezeka kwa foleni ndio maendeleo yenyewe hayo.. by JMK president
hehehehee,mdau umecomment kama mbunge au mwanasiasa