Sasa najiunga kuwa mwanachama rasmi wa Chadema

Sasa najiunga kuwa mwanachama rasmi wa Chadema

Hivi Matola uwezi kujibu hoja bila matusi? Hizi akili za kibavicha hizi.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Matola uwezi kujibu hoja bila matusi? Hizi akili za kibavicha hizi.

Huna akili wewe, unajifanya huoni post ya huyo boya mwenzanko aliponiita mimi mseng.e?

Mmezoa kulialia tu mimi hapa funga kazi ni moto kwa moto na hekima kwa hekima. Ukija na moto wa kifuu mimi nakuwasha na moto wa gesi.

Vipi leo mbona hamkimbilii kwa Moderators?
 
Kwani uongo wewe sio mse??nani aliyeanza we pimbi,we ndio umeenza ulisema uislam ni ufiraji ---- we! Kwetu sisi waislam heshima na adabu ni LAZIMA,ila akija mgalatia kama wewe halafu akatutukana tuna mpa kubwa sasa nachokwambia we mwehu endelea kututikisia hicho kijambio chako
 
Una uwezo wa kujenga hoja tatizo wewe na vijana wa bavicha mnatumiwa na mshumbusi kumchafua zittto
 
Kwani uongo wewe sio mse??nani aliyeanza we pimbi,we ndio umeenza ulisema uislam ni ufiraji ---- we! Kwetu sisi waislam heshima na adabu ni LAZIMA,ila akija mgalatia kama wewe halafu akatutukana tuna mpa kubwa sasa nachokwambia we mwehu endelea kututikisia hicho kijambio chako
sixgates haya anayoyaongea boya mwenzako huyu ndio kujenga hoja kwa UVCCM?
 
Last edited by a moderator:
We sukule kubwa uko wapi mbona umefichwa kaa shangingi la mombasa
 
Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.

Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.

Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.

We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.

Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.

Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene

Unapaswa kufikishwa hospitali ya Mirembe haraka sana!!!
 
Last edited by a moderator:
Naungana na wewe mtu wangu kwani nami ni miongoni mwa vijana ambao tunataka mabadiliko lakini sipo chama chochote cha siasa wakati ndio huu mkuu kwani chadema ni mpango wa mungu
 
Acheni uzushi nyie!Mungu yupi huyo? Nina uhakika 2015 mtafika mkiwa vipande au mmechoka vibaya! Poleni sana!!!
 
Ndani ya CCM kuna mfumo wa upigaji - sema utakuwa unapishana nao na ndiyo maana unaamua kuwahama. Wemzako wanachekea hela za kampeni 2025 zinakuja, usipojenga nyumna ya pili na tatu wewe ni bure kabisa.
 
Back
Top Bottom