manning
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 5,092
- 11,947
Polepole wakuu , Picha kama hii jamani kuweni na huruma mtasababisha mauaji kwa wanaCCM na PRO-CDM.
Tafadhali kaka, nakuheshimu.Watu wa kigoma hawaabudu mtu na zzk si muhimu kwao kuliko ukombozi wao.Pia nadhani mnaona kama zzk ni nyota pekee kati ya 'washamba'wengi wa kigoma!Kama ni hivyo mtakuwa mumekosea sana!kwani wasomi wa type ya zitto ni wengi sana kigoma na watazidi kutokea tu.Watu wa kigoma hawamshobokei zitto kihiivyo eti kwa vile ni msomi kama wanavyofanya baadhi ya wengine humu waliogawana zile pesa haram.Kumbuka zitto ni kama panya linalotoboa boti halafu anakaa ndani yake ili kuzuia maji huku akisema'mkinitoa tu,wote mnazama!'Sasa nakwambia,atatokea tundu hilo hilo alilotoboa,halafu CDM itaziba tundu na boti litaendeleaHata sisi wengine tusio Chadema, tunafuatilia kwa karibu huku tukisubiria ile hatma na ukiisha tekelezwa kama vile ilivyokuwa imepangwa siku nyingi ikisubiri tuu utekelezaji, then nashauri arejee huko kuwaeleza Wana Ki goma sababu za maamuzi hayo ndipo angalau mtawafahamu vizuri hawa jamaa!.
Pasco
TeamLowassa,obviosly huwezi kupenda pande mbili,ukiona ivyo zote zinakulipa.TEAMZITTO na TEAMLOWASSA zote zako.Ila sishangai kwa kuwa UNAISHI KWA BAHASHA MJINI.
Wanajamvi
Nimekuwa nafuatilia ziara ya katibu mkuu wa chadema DR WILBROD SLAA kuanzia mkoa wa Shinyanga mpaka Kigoma.
Toka mwanzo hujuma toka upande wa pili uliokumbwa na panga la utendaji kikatiba wakishirikiana na CCM zilibainishwa kuwa itafanyika kwa kivuli cha eti kuwa DR SLAA HATAKIWI HUKO.
LENGO la hadhari ya watu hao ni kutaka cdm ifute ziara ya katibu ili wapate headlines kuwa SLAA AOGOPA NGUVU YA UMMA,ila katu ziara hizo hazijafutwa.
NINAPOMSHANGAA DR SLAA ni kitendo cha kufanya mikutano yake ktk taharuki iliyoandaliwa kwa GHARAMA KUBWA NA UPANDE ULE na bado akapata watu licha ya mikwara ya watu hao wenye nia ya kuona dr slaa anawakuta watu 30 kama KINANA.
Kwa hali ilivyo kule kigoma eti watu kumi walioandaliwa tena kwa gharama kubwa na WENZETU na kuanza kuporomosha matusi mbele ya UMATI MKUBWA wa wana chadema ni wazi kuwa HATA KIGOMA WANAJUA ZITTO AMECHUKULIWA HATUA STAHIKI.
Tafadhali kaka, nakuheshimu.Watu wa kigoma hawaabudu mtu na zzk si muhimu kwao kuliko ukombozi wao.Pia nadhani mnaona kama zzk ni nyota pekee kati ya 'washamba'wengi wa kigoma!Kama ni hivyo mtakuwa mumekosea sana!kwani wasomi wa type ya zitto ni wengi sana kigoma na watazidi kutokea tu.Watu wa kigoma hawamshobokei zitto kihiivyo eti kwa vile ni msomi kama wanavyofanya baadhi ya wengine humu waliogawana zile pesa haram.Kumbuka zitto ni kama panya linalotoboa boti halafu anakaa ndani yake ili kuzuia maji huku akisema'mkinitoa tu,wote mnazama!'Sasa nakwambia,atatokea tundu hilo hilo alilotoboa,halafu CDM itaziba tundu na boti litaendelea
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Watu wa kanda ya ziwa wengi wao ni watu wanaojiweza kiuchumi kwa hiyo cyo rahisi kiviiile kumtapeli mtu mwenye pesa zake.Umaskini ni wakuogopwa kama ukoma,sababu ni kwamba maskini siku zote ni tegemezi wa kila kitu isipokuwa usingizi tu na ni rahisi mno kurubuniwa.Watu wa Kanda ya Ziwa wamedhihirisha kuwa wanafuata sera siyo mtu.
Ole wao waliojiunga chadema kwa ajili ya mtu.
Aibu kwa Zitto Kabwe na CCM
mbona ulichokipost haviendani na kichwa cha habari? au ndio vya magazeti? wewe ni mburula.Wanajamvi Nimekuwa nafuatilia ziara ya katibu mkuu wa chadema DR WILBROD SLAA kuanzia mkoa wa Shinyanga mpaka Kigoma. Toka mwanzo hujuma toka upande wa pili uliokumbwa na panga la utendaji kikatiba wakishirikiana na CCM zilibainishwa kuwa itafanyika kwa kivuli cha eti kuwa DR SLAA HATAKIWI HUKO. LENGO la hadhari ya watu hao ni kutaka cdm ifute ziara ya katibu ili wapate headlines kuwa SLAA AOGOPA NGUVU YA UMMA,ila katu ziara hizo hazijafutwa. NINAPOMSHANGAA DR SLAA ni kitendo cha kufanya mikutano yake ktk taharuki iliyoandaliwa kwa GHARAMA KUBWA NA UPANDE ULE na bado akapata watu licha ya mikwara ya watu hao wenye nia ya kuona dr slaa anawakuta watu 30 kama KINANA. Kwa hali ilivyo kule kigoma eti watu kumi walioandaliwa tena kwa gharama kubwa na WENZETU na kuanza kuporomosha matusi mbele ya UMATI MKUBWA wa wana chadema ni wazi kuwa HATA KIGOMA WANAJUA ZITTO AMECHUKULIWA HATUA STAHIKI.