Hatuongei siku ya tatu leo

Hatuongei siku ya tatu leo

Status
Not open for further replies.
Sista usijitese, jiachie ndio dawa yake. Usiwasikilize hao, wenzio yakiwakutaga hata hawaleti mezani kama wewe, wanacheck kwenye fn book nani yuko available wanajiachia, wakitudi home bati kwenda mbele, inakuwa 2-2 kama Man U na Cardiff
 
nishakoga nimejikoki na khanga ya mchina hapa

kama nakuona, ngoja nami niangalie tv, nimpotezee mama watoto nione kama atapiga cha mchina. Ah., watoto wanaharibu dili. Binadamu ni kiumbe complex sana, tafuta chanzo cha maongezi jishushe, kana kamba hutambui kama kanuna, mpe ulichomwandalia, watoto wasione lakini. Ila dawa kutwa mara 3 vidonge 2. Usiku kapona.
 
Pole dada...ila me nilivyo wala nisingeumia roho kwa kunyimwa hyo ktu,sanyingne tupeane mapumziko na tumisianage
 
Akili yangu haijakaa vizuri bora anipe tu kisha aendelee kununa

Mfuate hapo chukua remote kwa upole huku unamkalia ukielekea upande wake na.kukata kiuno tartiiiibu huku unamwambia kwa sikioni kuwa una ny.eg.e balaaaaa na leo unakumbuka ile siku mlichapa game honeymoon,ila ujilegeze mpaka sauti sio sauti kavu kama city wanatahadharisha wapanga bidhaa chini!!!!!!

Akiendelea na mgomo huyo ni pm fasta!!!!
 
Pole sana wangu Lakini kuwa makini usilipize kisasi kwani atakuwa na jambo linamsumbua kichwani hilo ni jambo la kawaida kwa binadamu
 
Ennie jamani huh!ndo mana mie natamani nionane naye sn.
 
Pole sana wangu Lakini kuwa makini usilipize kisasi kwani atakuwa na jambo linamsumbua kichwani hilo ni jambo la kawaida kwa binadamu

Thax my dear. siwezi kufanya 'jino kwa jino' ndio maana nimejichanganya na great thonkers
 
mbembeleze mtanie muulize taratibu kwa sauti ya upole atajirudi tu yaani mi asingelala hata hiyo siku ya kkwanza maana ningemsumbua hadi aseme siwezi kulala na kjiba cha roho hata siku moja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom