"Tulihongwa mabirika ya chai"lngiri juu Rorya

A

Alphonce Mawazo

R I P
Joined
Sep 10, 2013
Messages
335
Likes
28
Points
0
A

Alphonce Mawazo

R I P
Joined Sep 10, 2013
335 28 0
Nimesikitishwa na machozi ya bi kizee Theresia leo kwenye mkutano wa hadhara
niliofanya ktk kijiji nilichokitaja na ndo makao makuu ya wilaya ya
rorya,wakazi wake wanaporwa mashamba yao kwa nguvu na serlkali,ukiwa na
heka nne kwa mfano ni lazima uachie mbili,bei kwa heka haiko rasmi,Mama
mmoja kachukuliwa heka tatu na kapewa sh.milion moja,anaitwa mama
John.Mbunge wao Lameck Lakairo hajali,anawafungia vioo,wapo waliofungua
kesi mahakama ya mwanza lakini wana wasi wasi mkubwa kama haki
itatendeka,wamezuiwa kulima wala kujenga,wanajuta kwa kutoichagua
chadema,nilipowauliza kwa nini hawakuipa kura,bibi kizee mmoja mjane
ambaye mume wake alikatwakatwa mapanga akasema kwa uchungu,"tulihongwa
mabirika ya chai na Lameck Lakairo"kadi 20 za ccm zilirejeshwa,kesho
niko kata ya mkoma.Katika msafara wangu kamanda wangu mmoja alipata ajari mbaya ya boda boda na akapoteza fahamu,mwingine kaumia vibaya sana,tuombeeni.
 
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Messages
7,370
Likes
4,233
Points
280
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2013
7,370 4,233 280
Poleni sana.
 
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
835
Likes
2
Points
0
Age
26
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2013
835 2 0
Nimesikitishwa na machozi ya bi kizee Theresia leo kwenye mkutano wa hadhara
niliofanya ktk kijiji nilichokitaja na ndo makao makuu ya wilaya ya
rorya,wakazi wake wanaporwa mashamba yao kwa nguvu na serlkali,ukiwa na
heka nne kwa mfano ni lazima uachie mbili,bei kwa heka haiko rasmi,Mama
mmoja kachukuliwa heka tatu na kapewa sh.milion moja,anaitwa mama
John.Mbunge wao Lameck Lakairo hajali,anawafungia vioo,wapo waliofungua
kesi mahakama ya mwanza lakini wana wasi wasi mkubwa kama haki
itatendeka,wamezuiwa kulima wala kujenga,wanajuta kwa kutoichagua
chadema,nilipowauliza kwa nini hawakuipa kura,bibi kizee mmoja mjane
ambaye mume wake alikatwakatwa mapanga akasema kwa uchungu,"tulihongwa
mabirika ya chai na Lameck Lakairo"kadi 20 za ccm zilirejeshwa,kesho
niko kata ya mkoma.Katika msafara wangu kamanda wangu mmoja alipata ajari mbaya ya boda boda na akapoteza fahamu,mwingine kaumia vibaya sana,tuombeeni.
Kamanda Mawazo, Kila la Kheri Kaka kwa Kazi!
 
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
835
Likes
2
Points
0
Age
26
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2013
835 2 0
Poleni sana Makamanda Mlioumia huko Rorya Kwenye Msafara wa Kamanda Mawazo, 2ko pamoja nawe tangu Siku ya Mkutano wa Mh. Wenje pale Mbugani S/Msingi... Kamanda nakuomba sana 2pange ili 2wende Jimbo langu la Serengeti, manaake huko nako kuna Gamba Sugu zaidi yangu... Dah! M4C ni noumaa!
 
A

Alphonce Mawazo

R I P
Joined
Sep 10, 2013
Messages
335
Likes
28
Points
0
A

Alphonce Mawazo

R I P
Joined Sep 10, 2013
335 28 0
Poleni sana Makamanda
Mlioumia huko Rorya Kwenye Msafara wa Kamanda Mawazo, 2ko pamoja nawe
tangu Siku ya Mkutano wa Mh. Wenje pale Mbugani S/Msingi... Kamanda
nakuomba sana 2pange ili 2wende Jimbo langu la Serengeti, manaake huko
nako kuna Gamba Sugu zaidi yangu... Dah! M4C ni noumaa!
It is the price we have to pay sometimes kamanda,mapambano so mteremko
 
Duble Chris

Duble Chris

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2011
Messages
3,487
Likes
9
Points
135
Duble Chris

Duble Chris

JF-Expert Member
Joined May 28, 2011
3,487 9 135
kaza uzi kamanda Mawazo !

Wanaosema sema operation sangara ilikufa waambieni, imekua sasa hatutafuti sangara tena bali tunahamasisha mabadiliko chini ya M4C

BIG UP KAMANDA WAPI MAKAMANDA WENGINE !!

Note: Ule mjadala wa ZZK ulishafungwa rasmi
 
manning

manning

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,528
Likes
116
Points
160
manning

manning

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,528 116 160
kila la heri mkuu, wasogeze hao ndugu zangu waliotelekezwa na CCM katika ziara ya Kinana na Nape ,CHADEMA IKAOKOA JAHAZI.
 
K

Keben

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
700
Likes
119
Points
60
Age
32
K

Keben

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
700 119 60
Kaza msuli kamanda tuko pamoja
 
B

bujash

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2013
Messages
3,471
Likes
2
Points
0
B

bujash

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2013
3,471 2 0
Tunakutakia kila la kheri na wape pole makamanda waliopata ajali.
 
A

Alphonce Mawazo

R I P
Joined
Sep 10, 2013
Messages
335
Likes
28
Points
0
A

Alphonce Mawazo

R I P
Joined Sep 10, 2013
335 28 0
kaza uzi kamanda Mawazo
!

Wanaosema sema operation sangara ilikufa waambieni, imekua sasa
hatutafuti sangara tena bali tunahamasisha mabadiliko chini ya M4C

BIG UP KAMANDA WAPI MAKAMANDA WENGINE !!

Note: Ule mjadala wa ZZK ulishafungwa rasmi
Tupigeni kazi makamanda wangu,huku vijijini watu wanachotaka ni kusaidiwa ki sheria dhidi ya wanyonyaji wa ccm,
 
A

asakuta same

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Messages
15,037
Likes
95
Points
0
A

asakuta same

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2011
15,037 95 0
kamanda mawazo nakukubali sana kwa kazi ya kuwahenyesha hao magamba mpaka katika ngazi ya kijiji. VIVA CHADEMA , VIVA M4C.
 
Ng'wanangwa

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Messages
10,661
Likes
1,610
Points
280
Ng'wanangwa

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2010
10,661 1,610 280
Mungu yupo upande wetu. Songesha Kamanda.
 
A

Alphonce Mawazo

R I P
Joined
Sep 10, 2013
Messages
335
Likes
28
Points
0
A

Alphonce Mawazo

R I P
Joined Sep 10, 2013
335 28 0
kila la heri mkuu,
wasogeze hao ndugu zangu waliotelekezwa na CCM katika ziara ya Kinana na
Nape ,CHADEMA IKAOKOA JAHAZI.
Tupambaneni,hawa jamaa ni wepesi sana sema tunawalegezea tu.
 
A

Alphonce Mawazo

R I P
Joined
Sep 10, 2013
Messages
335
Likes
28
Points
0
A

Alphonce Mawazo

R I P
Joined Sep 10, 2013
335 28 0
Poleni sana Makamanda
Mlioumia huko Rorya Kwenye Msafara wa Kamanda Mawazo, 2ko pamoja nawe
tangu Siku ya Mkutano wa Mh. Wenje pale Mbugani S/Msingi... Kamanda
nakuomba sana 2pange ili 2wende Jimbo langu la Serengeti, manaake huko
nako kuna Gamba Sugu zaidi yangu... Dah! M4C ni noumaa!
Nakumbuka nilipiga mikutano kibao Mugumu,jipange twende kamanda
 
A

Alphonce Mawazo

R I P
Joined
Sep 10, 2013
Messages
335
Likes
28
Points
0
A

Alphonce Mawazo

R I P
Joined Sep 10, 2013
335 28 0
Mungu yupo upande wetu. Songesha Kamanda.
Amina kamanda,sisi tulioko porini tunaumia tunaposikia wengine wako busy kuua chadema,tumaini pekee la wanyonge,Mungu awalipe wanachostahili.
 
M

mwaka73

Member
Joined
Oct 28, 2013
Messages
52
Likes
1
Points
0
M

mwaka73

Member
Joined Oct 28, 2013
52 1 0
Tuko pamoja tushikamane ili tuupate uhuru wa kweli kutoka kwa hawa wakoloni weusi
 
Forum statistics

Threads 1,252,160
Members 482,015
Posts 29,798,591