Mimi ni kijana 33 yrs now..katika kuishi kwangu nilibahatika kuoa na sijawahi pata mtoto...miaka minne ya ndoa yetu kuna kipindi.wife alipata ujauzito na ilipofikia siku ya kujifungua mtoto akafariki akiwa tumboni..tukakaa kama miezi saba akapata ujauzito.mwingine ambao ulisumbua sana, miezi minne tu ya ile mimba akaambiwa alazwe bed rest hadi atakapojifungua...tukakubaliana na hali akalazwa hosp for 4 month na ilipofikia miezi nane siku moja ikaonekana mtoto kama anataka kutoka wakamwahisha thearter bahati mbaya ile anafika tu chumba hicho mtoto akafariki...nilipata na simanzi sana nikamshauri wife tukae mwaka na nusu bila kushika ujauzito na sasa tuna mwaka na miezi saba..sasa wife amepatwa na issue ingine tena ya kubleed mfululizo for three month now, tumejaribu kila aina za dawa za hosp, kanisani na mwishowe kuna bibi fulani alitipa dawa ikapungua na sasa namshukuru mungu imekata. Sasa nawaza hivi kuna haja ya kutafuta mtoto kweli ama nipotezee tu niandike walizo kufa wanatosha?
yanayokukuta ni mipango ya mungu. mshukuru kwa kila hali, umtegemee kwa muomba.... in shaa allah utapata!
Yahaa, no comment from my side, nimesoma nikalia, i know what you are facing, nimenywea kikombe hiki. i have lost more than 3. KWELI INAUMA.
Pole sana mdau. Jiulize swali moja tu! kama wazazi wako wangejiuliza kama unavyojiuliza wewe sasa, je wewe ungekuwepo??? Cha msingi ni kuendelea kujaribu na kumuomba muumba kwa imani yako, ipo siku mtpata mtoto.
Siku hizi bwn watu watakutia moyo tu lakini hawakupi jibu
Duh.. Mkuu pole sana. Ni mojawapo ya challenge kubwa kwa wanandoa.
Kiukweli kuzaa / kutokuzaa sio ishu kubwa kiasi ambacho jamii yetu imekua ikiamini. Watu mnaweza kuishi maisha ya ndoa yenye amani na upendo bila kuwa na watoto especially inapotokea kutaka kuhatarisha maisha ya mmoja wenu.
Tatizo jamii zetu zimejijengea imani kuwa watoto ni kitu cha lazima na usipopata watoto unaonekana kama nini sijui..! Bado tuna yale mambo ya ooh.. ukizeeka nani atakutunza.. mara nani atarithi mali zako.. mara jina lako sijui litaisha.. n.k.. Na hawakawii kuanza kukushauri utafute mke mwingine! Mi nawafahamu watu wengi tu wako kwenye ndoa zaidi ya miaka 15 hawana mtoto wala nini lakini maisha yanaenda. Wengine wana watoto lukuki lakini hawawasaidii chochote zaidi ya kuwatia presha tuu.. Kwa wenzetu nchi zilizoendelea watu huwa wanaoana na wanakubaliana kabisa kuwa hawatazaa na wanaishi hivyo. Kwahiyo mkuu we usiumize kichwa sana. Pia unaweza ku adapt kama utaona unahitaji mtoto wa kuchangamsha nyumba. Pole sana.
Hapana huo sio mpango wa Mungu mkuu shetani tu huyo.
Mungu anatupenda.
hivi ushajiuliza mungu huyo huyo aruhusu mimba itungwe amwache mtt akue mpaka afike miezi kadhaa then aamuue? c angemuu b4 au asingeruhusu kabisa ht mimba itungwe?
Yahaa, no comment from my side, nimesoma nikalia, i know what you are facing, nimenywea kikombe hiki. i have lost more than 3. KWELI INAUMA.
huyo mke wako alishatoa mimba waqt wa ujana wake. tafuta nyumba ndogo zaa achana na hilo kopo
Mimi ni kijana 33 yrs now..katika kuishi kwangu nilibahatika kuoa na sijawahi pata mtoto...miaka minne ya ndoa yetu kuna kipindi.wife alipata ujauzito na ilipofikia siku ya kujifungua mtoto akafariki akiwa tumboni..tukakaa kama miezi saba akapata ujauzito.mwingine ambao ulisumbua sana, miezi minne tu ya ile mimba akaambiwa alazwe bed rest hadi atakapojifungua...tukakubaliana na hali akalazwa hosp for 4 month na ilipofikia miezi nane siku moja ikaonekana mtoto kama anataka kutoka wakamwahisha thearter bahati mbaya ile anafika tu chumba hicho mtoto akafariki...nilipata na simanzi sana nikamshauri wife tukae mwaka na nusu bila kushika ujauzito na sasa tuna mwaka na miezi saba..sasa wife amepatwa na issue ingine tena ya kubleed mfululizo for three month now, tumejaribu kila aina za dawa za hosp, kanisani na mwishowe kuna bibi fulani alitipa dawa ikapungua na sasa namshukuru mungu imekata. Sasa nawaza hivi kuna haja ya kutafuta mtoto kweli ama nipotezee tu niandike walizo kufa wanatosha?
Pole sana mkuu, pia mtafute Dr. Kapona 065 528 6125, huyu ni dokta mzuri sana wa magonjwa ya kina mama, zamani alikuwa Tumaini Hospitali ila kwa sasa ana hospitali yake kule Buyuni Chanika. Changamoto ni kwamba hospitali yake haijajiunga na hizi Bima za afya hivyo lazima uwe na Cash mkononi.
Mmefunga ndoa takatifu?
hayo ndio madhara ya kutumia vidonge na njia zingine za uzazi wa mpango, pole sana, yapo mengi yaliyofichika katika matumiz ya dawa na njia hiz ambayo mawakala wa kifo hutumia lugha lain na nyepesi kuhalalisha uharibifu wa matamizi ya vidonge na njia hizo za uzazi wa mpango, kama mkeo alikua mtumiaji wa visonge hivyo uombe Mungu, mana malengo ya hawa watu ni kuhakikisha wanazuia kazi ya uumba kwa kuua vizazi na utoaji mimba.