Recent content by Mwafrika Halisi

  1. M

    Happy birthday Freeman Mbowe

    Happy Birthday Mr.Mbowe,God Bless you and your work!
  2. M

    Dr Slaa alienda kusomea urais Marekani?

    "Ndugu yangu Chris, hivi kwanini kila unachoandika ni pumba tuu?" Hivi unasoma na kufikiri kabla haujaandika? Unapaswa kujitambua kwanza maana si sahihi kujionyesha waziwazi namna ulivyo!
  3. M

    VURUGU NCHINI, Wapinzani na viongozi wa dini unganeni na serikali kukemea kwa manufaa ya taifa letu

    Bwana Chilisosi, nimeamua kuquote sentensi zako mbili ili kukuonyesha jinsi gani haufanyikazi kam Great Thinker humu ndani, Swala la Gesi hata Mzee wetu Malecela alishawahi kuchangia na kusema 'Waliokaribu na ua la waridi wanapaswa na wao wanukie harufu ya waridi' kwa kumaanisha watu wa Mtwara...
  4. M

    Mgogoro wa Gesi Mtwara: Zitto Kabwe anapotosha Umma

    Makupa au makopo, naomba wewe na wenzako huko serikalini wekeni makubaliano yenu wazi ili kuondoa dhana ya malumbano yasiyo na maana, mmengia mkataba, wananchi hawaelewi makubaliano yenu! Watu wanataka kujua Wanamtwara wanafaidika nini? Kama hamtaki mjue moto utaendelea kuwaka kwenye majumba...
  5. M

    CCM: Wana-MTWARA watafutiwe adhabu

    Mimi naona afadhali CCM watoe adhabu kali kwa Wana Mtwara ili iwe fundisho upuuzi wao wa kuichekelea CCM, maana hawa hawaelewi wakiambiwa CCM ni janga la taifa hawakubali, CCM ni muda muafaka wa kujionea wenyewe! CCM toeni adhabu kali kwa mtwara, lindi na dodoma nk ili wawajue mlivyo kwa matendo...
  6. M

    Sina imani tena na Chadema

    Kazi yako kulalama tu, tunataka uwe sehemu ya mabadiliko kwa kuhamasisha watu wajiandikishe na kupiga kura! Kwan chadema imeunda serikali lini? wanachoweza kufanya ni kuhamasisha wananchi wajue namna ya kutetea haki zao!
  7. M

    Lowassa aonja nguvu ya CHADEMA Tunduma

    umesahau wabunge wako wa ccm walivyowazomea chadema bungeni, tena kwa mambo ya msingi sana
  8. M

    Hii ni kwa wana CCM tu

    mwnccm haruhusiwi kujikosoa? huwezi kupendelea kila uchafu mwisho wake majuto
  9. M

    Hatimaye serikali yakubali marekebisho ya muswada wa katiba mpya...

    Mazingira na hali halisi imemlazimisha asikilize,kama ni usikivu angeonyesha mapema na asingesain ule muswada wa hovyo ambao umelalamikiwa na wadai wengi sana
  10. M

    Hamad Rashid ni mtaji maalum

    nilitaka kukusifu kwa kupangilia hoja yako paragraph za mwanzo, lkn naungana na mwenzangu mwingine kwamba umeharibu ulipoanza kuzungunzia udini! Lala salama usiku mwema na heri kwa mwaka mpya!
  11. M

    Jaji Warioba: Sioni kwanini tusiwalipe DOWANS pesa zao....

    Tunataka sheria inayoamua kwa haki sio ujanja kama ilivyo swala la dowans! Hakuna mtu aliye juu ya sheria lkn sheria inapasa kuangalia na kuamua matakwa ya wengi, sheria ikitetea wizi na unyonyaji bado tuikubali tuu? tunasema hapana na tutaandamana mpaka kieleweke!
  12. M

    Nzega: Risasi zatumika kumuokoa Mbunge Kigwangalla

    Ningefurahi kama hawa polisi wangekuwa wamemtandika risasi walahu mguuni! Maana wakisema chadema kwamba polisi ni waonevu, hamkubali mnasema wachochezi sasa huo ni muda wa kuonja ushenzi wa polisi! Hasa ww kigwangwalla maneno yako hayana maana ukiwa bungeni na kwny mikutano yenu ya magamba
  13. M

    Nzega: Risasi zatumika kumuokoa Mbunge Kigwangalla

    kigangwalla ni kigeugeu sana, hana nia ya kuwa na wananchi pamoja ila anataka ku-winn political audience! ukiangalia kipindi cha bunge utajua nani yupo serious na anachosema na nani ni msanii! sisi wananchi tunawajua nani ni nani
  14. M

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    Asante sana mzee Butiku, hapa unaonyesha wazi busara yako ya uzee! wazee wengine wanatakiwa kuiga mfano wako, wakumbuke heshima yao ktk jamii haitapatikana kwa kuendekeza unafiki badala ya ushauri
  15. M

    Dr Kigwangalla Amponda Benno, Amtetea Riziwan, Anatafuta Uwaziri?

    Bw HK, hakuna anayemchukia mtoto wa rais, tabia yake ndiyo inaweza kumsababishia matatizo. Wahenga walisema cheo ni dhamana, mifano ipo ajifunze kupitia watoto wa Ghadaffi!
Back
Top Bottom