Dr Slaa alienda kusomea urais Marekani?

Dr Slaa alienda kusomea urais Marekani?

Alikwenda kufanya orientation kama maandalizi ya kuingia ikulu 2015

Kwani chama chenu kilishateua mgombea? Hata kama mlishamteua kwani alishapitishwa na tume ya uchaguzi? Katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu mgombea uraisi inasema mgombea uraisi atapatikana kupitia jamii forums?
 
Nadhani alikwenda kupata uzoefu namna ya kuimarisha chama kwa sbb alishasema chadema bado si imara,siamini sana hicho unachokifikiria!
 
Kwani chama chenu kilishateua mgombea? Hata kama mlishamteua kwani alishapitishwa na tume ya uchaguzi? Katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu mgombea uraisi inasema mgombea uraisi atapatikana kupitia jamii forums?

utaanza kula matusi sasa hivi mkuu we subiri,umeuliza swali zuri lakini kuna wale mnaowaita sijui akina nani vile wasivyojua kujibu utaona.labda kidogo aje Ben Saanane au Mwita Maranya kidogo zimozimo!
 
wanaitwa wafia chama
 
kweli ndugu yangu unayosema Tundu lissu anafaa sijui kwaniini hawapangi kwenye gemu hilo
Ndugu zanguni,

Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?

Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema?

Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.

Pamoja na kuwa Chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko Slaa ndani ya chama,

TUNDU LISU angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko Dr lakini tatizo ni kabila lake...

JITAMBUE!
 
kiwateua wapi ndugu yaani viongozi miaka nenda rudi wako hao hao
lakini hakuna cha kuwaondoa
Kwani chama chenu kilishateua mgombea? Hata kama mlishamteua kwani alishapitishwa na tume ya uchaguzi? Katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu mgombea uraisi inasema mgombea uraisi atapatikana kupitia jamii forums?
 
Ndugu zanguni,

Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?

Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema?

Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.

Pamoja na kuwa Chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko Slaa ndani ya chama,

TUNDU LISU angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko Dr lakini tatizo ni kabila lake...

JITAMBUE!
Umekula sembe weee, ulivyotosheka akainua paja moja nakututolea moshi km huu kwa exhaust ya nyuma.. hebu kalale huko!
 
utaanza kula matusi sasa hivi mkuu we subiri,umeuliza swali zuri lakini kuna wale mnaowaita sijui akina nani vile wasivyojua kujibu utaona.labda kidogo aje Ben Saanane au Mwita Maranya kidogo zimozimo!
Hao uliowataja ni wapambe wa mama junior
 
Ndugu zanguni,

Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?

Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema?

Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.

Pamoja na kuwa Chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko Slaa ndani ya chama,

TUNDU LISU angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko Dr lakini tatizo ni kabila lake...

JITAMBUE!

Usipanic rais ni Loasa tu mwanawane.
 
Wanajamvi mi mara nyingi huwa na shangaa sana hivi kila mara CHADEMA na CCM wanaenda Marekani kuna kipi hasa huko? Maana Nchi wanatuachia sisi huku wao kila siku kwa Obama kulikoni?
 
Kikwete huwa anaenda kuomba mosquito nets!
 
ndugu zanguni,

napenda kuwauliza wanajamvi hapa, hivi dr alikwenda kusomea urais marekani?

Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chadema?

Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.

Pamoja na kuwa chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko slaa ndani ya chama,

tundu lisu angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko dr lakini tatizo ni kabila lake...

Jitambue!

inaelekea imekuuma sana chris lukosi!
 
Obama anajua Kukumbatia, wee acha tu 🙂

barackobamabarackobamadiscussesgovernmentsmp8smnaowbl.jpg

huyo atakuwa ni dada na rafiki
 
Ndugu zanguni,

Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?

Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema?

Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.

Pamoja na kuwa Chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko Slaa ndani ya chama,

TUNDU LISU angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko Dr lakini tatizo ni kabila lake...

JITAMBUE!

"Ndugu yangu Chris, hivi kwanini kila unachoandika ni pumba tuu?" Hivi unasoma na kufikiri kabla haujaandika? Unapaswa kujitambua kwanza maana si sahihi kujionyesha waziwazi namna ulivyo!
 
Back
Top Bottom