CCM: Wana-MTWARA watafutiwe adhabu

CCM: Wana-MTWARA watafutiwe adhabu

Inamaana wale wazee wa Mtwara walioitwa Ikulu kwa kikao cha dharura na JK hawajasaidia lolote. Huo mchezo mnaofanya hapo Lumumba ni kama mnajichimbia wenyewe. Mtawaadhibu watu 50, ila mtaangushwa na malaki ya watu. Nawashauri mfanye mikakati ya kurudisha pence zetu za tembo Uchina, ama pesa zetu kule Uswiss ili tupunguze deni la Taifa hapo tutawaona wa maana.
Kkaaaa! Hata umenasa kwenye mtego wa kuamini uongo huu? Umebuugi meen
 
Wewe mzushi tu ka hadithie watoto hii hadithi yako
 
Hapa Lumumba,ofisi ndogo za CCM Dar, sasa ni vikao mfululizo. Kamati mbalimbali zinaundwa na kupewa majukumu mbalimbali lakini yenye lengo moja:kuiadhibu Mtwara. Kwanini waandamane kupinga kuisafirisha gesi toka huko Mtwara hadi Dar es Salaam? Kwanini wamsaliti Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa nchi? Wapo Wajumbe wenzangu wanawaita Mtwara wahaini na wasaliti.

CCM imeapa kuidhibu Mtwara. Wanakamati tumepewa kazi ya kutafuta adhabu mujarabu na kuishauri Serikali. Nitakuja kuwaambia adhabu husika baada ya Kikao cha Jumatatu. Hali ni tete hapa Lumumba.Tutaonana siku hiyo.Jadilini lakini mjue hivyo

Wenu,

VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa
Hapo ndiyo patamu! Wanawashupalia watu wa Mtwara kwa kudai hatma ya rasilimali gesi iliyogunduliwa huko na kuwatukana kwa kila tusi. Wanaitwa wapuuzi, wahuni na sasa ni wahaini! Kosa la uhaini duniani kote ni kifo. Hivyo wananchi wa Mtwara wanastahili kifo kweli??? Wanastahili kifo kwa kosa gani hasa? Mimi nilifikiri waliostahili kifo ni wale wanaoifisidi hii nchi ukianzia na EPA, twiga, meno ya tembo, rich..., hadi wanaotorosha pesa na kwenda kuzificha Uswisi. Pweza akichomwa huwa anajipalia makaa mwenyewe!
 
you can only fool people sometimes,but not all the time!!!

"this is what we call Makonde's/makuwa's awakening".
The outbreak of this trend might relatively be spreading all over the country in a couple of few days to come.
People are running out of patience against their ridiculous leaders who act on their own favour and not for the sake of the majority ordinary people living across the territory so far!!!!
 
Umenena mkuu!
Hii serikali imeshasahau ya kwamba cheo ni dhamana!
Wamejisahau ya kuwa wapo madarakani kutokana na kura za hao hao wanaotaka kuwaadibisha.
Watanzania amkeni, ccm haiko kwa ajili yenu.
Ondoeni uozo huu muone angalau harufu ya mabadiliko.
Mpira uko kwetu wana Mtwara na watanzania wote!
Haitakuwa rahisi lakini hatuna budi kuanza.
Hata TANU ilipoleta uhuru kuna waliotia mashaka kama ingewezekana, lakini sauti ya yule, mimi na wewe ikamtoa mkoloni.

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake!

Kazi iliyopo mbele yetu ni kuelimisha ile asilimia 60 inayopofushwa na fulana, khanga,kofia na skafu zenye rangi ya kijani na njano huku zikibeba kimakosa alama za jembe na nyundo, wakati mwingine asilimia 60 hii inahadaiwa na shughuli za mchikiriku na mnanda zinazokaziwa na ubwabwa. Tufanye kazi hii ya kuelimishana ili kuwafungua macho wenzetu ambao wanazuzuliwa na rushwa iliyobatizwa takrima
 
Hapa Lumumba,ofisi ndogo za CCM Dar, sasa ni vikao mfululizo. Kamati mbalimbali zinaundwa na kupewa majukumu mbalimbali lakini yenye lengo moja:kuiadhibu Mtwara. Kwanini waandamane kupinga kuisafirisha gesi toka huko Mtwara hadi Dar es Salaam? Kwanini wamsaliti Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa nchi? Wapo Wajumbe wenzangu wanawaita Mtwara wahaini na wasaliti.

CCM imeapa kuidhibu Mtwara. Wanakamati tumepewa kazi ya kutafuta adhabu mujarabu na kuishauri Serikali. Nitakuja kuwaambia adhabu husika baada ya Kikao cha Jumatatu. Hali ni tete hapa Lumumba.Tutaonana siku hiyo.Jadilini lakini mjue hivyo

Wenu,

VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa

sisi ndio tutaiadhibu ccm 2015
 
Itakuwaje kama wanacnhi wa Mtwara wakiamua kuiadhibu ccm?

nafurahi sana km wanamtwara wakiiadhibu serikali kwa kura. Hawa jamaa ni mashetani wa nchi yetu. Eti wanamuaibisha mwenyekiti wa chama, ndiyo lazima aibike c mpumbavu. Anashndwa kuwackikiza wanamtwara hoja zao eti wakawaadhibu? Huu ni ujinga mkubwa sana wa ccm na magamba yao.
 
Mtu Mzima hatishiwi nyau atii! hizo hila tu mnataka watu waogope.Askari jasiri ni yule alie tayari kufia Vitani, tuko tayari ,liwalo na liwe, hatuogopi tunawasubiri kwa hamu mafisadi nyie ,ama zenu ama zetu hadi kieleweke!!!!

Kama Nape alikuwepo kwenye hicho kikao cha maangamizi , Basi Natangaza rasmi kufuta ule msamaha niliompa juzi , baada ya yeye mwenyewe kukiri makosa yake na kuomba asamehewe .
 
Mtu Mzima hatishiwi nyau atii! hizo hila tu mnataka watu waogope.Askari jasiri ni yule alie tayari kufia Vitani, tuko tayari ,liwalo na liwe, hatuogopi tunawasubiri kwa hamu mafisadi nyie ,ama zenu ama zetu hadi kieleweke!!!!

Ba! Ndo kusema mmiamua kweli?
 
ukweli ni kwamba watz na CCM is a perfect marriage of cycle of stupidity, gullibility and poverty. Fireworks/

I like your comment bhana..!!! We're, indeed, in a perfect and unshakable marriage of stupidity with CCM.
 
Hapa Lumumba,ofisi ndogo za CCM Dar, sasa ni vikao mfululizo. Kamati mbalimbali zinaundwa na kupewa majukumu mbalimbali lakini yenye lengo moja:kuiadhibu Mtwara. Kwanini waandamane kupinga kuisafirisha gesi toka huko Mtwara hadi Dar es Salaam? Kwanini wamsaliti Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa nchi? Wapo Wajumbe wenzangu wanawaita Mtwara wahaini na wasaliti.

CCM imeapa kuidhibu Mtwara. Wanakamati tumepewa kazi ya kutafuta adhabu mujarabu na kuishauri Serikali. Nitakuja kuwaambia adhabu husika baada ya Kikao cha Jumatatu. Hali ni tete hapa Lumumba.Tutaonana siku hiyo.Jadilini lakini mjue hivyo

Wenu,

VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa

Mzee Tupatupa, kwanini hamuwaadhibu mafisadi na waficha pesa USWIS mnawaadhibu wananchi maskini wanaohoji rasilimali zao walizopewa na Mungu? Unajua hivyo vikao vyenu hivyo, kuna watu siku moja, watawavamia hapo Lumumba na kuwachinja kama Kuku, subirini, and take my words.
 
Hapa Lumumba,ofisi ndogo za CCM Dar, sasa ni vikao mfululizo. Kamati mbalimbali zinaundwa na kupewa majukumu mbalimbali lakini yenye lengo moja:kuiadhibu Mtwara. Kwanini waandamane kupinga kuisafirisha gesi toka huko Mtwara hadi Dar es Salaam? Kwanini wamsaliti Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa nchi? Wapo Wajumbe wenzangu wanawaita Mtwara wahaini na wasaliti.

CCM imeapa kuidhibu Mtwara. Wanakamati tumepewa kazi ya kutafuta adhabu mujarabu na kuishauri Serikali. Nitakuja kuwaambia adhabu husika baada ya Kikao cha Jumatatu. Hali ni tete hapa Lumumba.Tutaonana siku hiyo.Jadilini lakini mjue hivyo

Wenu,

VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa

Mimi naona afadhali CCM watoe adhabu kali kwa Wana Mtwara ili iwe fundisho upuuzi wao wa kuichekelea CCM, maana hawa hawaelewi wakiambiwa CCM ni janga la taifa hawakubali, CCM ni muda muafaka wa kujionea wenyewe!
CCM toeni adhabu kali kwa mtwara, lindi na dodoma nk ili wawajue mlivyo kwa matendo tenu
 
Kuendelea kuwatawala Watanzania lazima tuhakikishe wanaendelea kuwa maskini ili 2015 tukiwapa kanga, kofia na fulana waweze kutuchagua.
 
Mleta mada ni muongo na mzushi mkubwa, ccm wapo likizo tangu tarehe moja ya mwaka mpya hadi jumatatu.danganyaneni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom