Recent content by Mvumilivu2

  1. Mvumilivu2

    JamiiForums Tanzania Waajiriwa wengi mtakufa masikini sana. Hivi mnaishije?

    pole, pambana tu mwanzo huwa mgumu Hata kwa sisi tuliojiajiri kuna kipindi hali inakuwa si hali hadi nanga inapaa
  2. Mvumilivu2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu ndo nashangaa au kuna mwingine huko ?!

    wanaume mmetufikiria vibaya kwa kweli......tunahangaika ili tuzisaidie familia zetu. si kila kitu tuwaombe nyie tunaogopa kusimangwa. sio kwamba eti tuwaona makatili ni katika harakati za kusaidiana kimajukumu. kipindi unaiendesha familia, mwanamke nae awe na kauwezo hata kakusaidia kwao...
  3. Mvumilivu2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    kwanza pole sana kaka yangu. kuachana na huyo baby mama wako sio suluhisho la matatizo. na hata sitakushauri muachane kwa sababu unaweza achana na huyo kumbe huko unakoenda ndio balaa kabisa. kwanza haina hata haja ya kumweleza hayo yote kwa maana unaweza ukapokea usichokitarajia kabisa( kwa...
  4. Mvumilivu2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mtuvumilie tu kwakuwa tunaogopa matusi yenu

    sina hata cha kucoment, sijaolewa mie, sijui hata ndoa inakuaje
  5. Mvumilivu2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kumuacha mwanamke kama humtaki tena

    Na njia rahisi ya kumuacha mwanaume ambaye humtaki ni kubeba mimba ya mwanaume mwenzie kipindi upo nae.:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
  6. Mvumilivu2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mwanamke gani wewe?

    hahahaha eti henga:p:p:p
  7. Mvumilivu2

    JamiiForums Tanzania Mbezi Kimara Interchange: Tanroads Mmetisha?

    hayo ndo mabadiliko waliyokuwa wanayataka watz sio blaa blaa tu
  8. Mvumilivu2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke Akikujibu SMS yako Hivi Acha Haraka Sana Kuchat Nae

    Afu hata sio wote wanakuwa wanamaanisha kuomba pesa au kupiga mizinga, ni kama kueleza tu jinsi hali yake ilivyo kwa wakati huo. msituone omba omba sana siku hizi tunatafuta vya kwetu
  9. Mvumilivu2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfuma kaka yangu akipigwa na mkewe, haya ni mapenzi ya dhati au kuna walakini?

    duh aisee!
  10. Mvumilivu2

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, kwa ufaulu huu atapata chuo cha uuguzi cha serikali?

    Habar wanajf, Nina Mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana huko mkoani na akapata division 3 ya 25 Dogo akapangiwa ualimu lakini yeye ndoto yake ni kusoma mambo ya afya so ualimu akagoma kwenda now kaja Dar. Je kwa ufaulu huu wa civ D Hist D Geo D Kisw C Eng C Phy F Chem D Bio C Math F...
  11. Mvumilivu2

    JamiiForums Tanzania Tuliozaliwa miaka ya 90 njoeni tujifaliji

    tupo tupo haroo,
  12. Mvumilivu2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mboga yangu ya jana

    hahaha
  13. Mvumilivu2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mboga yangu ya jana

    we jamaa wewe! kwa hiyo hukumfumua wala nini mana si kwa mbwembwe zile za jana za kwenda kumbinua binua na kumfinyanga
Back
Top Bottom