ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,382
kukicha simu mkononi unawaza msg zilizoingia au status zilizotupiwa whatsapp? muda wote umeinamia sim mpaka unaenda kulala simu ipo kidevuni.
mwanamke unaachiwa hela ya matumizi kwako siku zote haitoshagi tu kumbe unataka kushindana na marafiki zako kwa mitindo ya nguo
umechumbiwa ukiwa cheusi mangale ghafla baada ya ndoa unakuwa white kama beyonce nani alie kuambia watu wanapenda weupe wa ngozi na sio weupe wa moyo?
mwanamke umezaliwa huna hata tobo kwenye ngozi kadri ukuavyo matobo yanaongezeka mara cha pua, sikio, kitovu, n.k nakuuliza umekuwa henga mwilini mwako tutundike pazia?
mwanamke kucha ndefu mikono yote na ina juuu ukikaaa wewe na kuku hamtofautiani jikoni unampikiaje mumeo
mwanamke gani umeolewa umekuta wakwe na mawifi/ mashemeji wapole wewe kutwa kutafuta visa kuwachonganisha kati ya shemeji na wakwe zako. unajisikiaje?
umeolewa kwa ndoa unakazana lupost kifua (matit), paja na kitovu kwenye mitandao ya kijamiii mpaka makahaba wa sinza wanaona aibu.
mwanamke unamtunzia siri za umalaya wa mwanao ila mumeo akichepka tu ulimwengu mzima habari wanayo.
mwanamke chuki unamnyanyasa mwanamke mwenzio ( mke wa kaka yako) kutwa visa visivo na kichwa wala miguu tena unadiriki kumpa sumu ya maneno mabaya kaka yako juu ya wifi yako nenda kaolewe na wewe utayakuta kwenye nyumba yako. malipo ni hapahapa.