Wanaume mtuvumilie tu kwakuwa tunaogopa matusi yenu

...kwa wanaofanya hivyo ni sawa kabisa- shida ni hawa kila kikipita kitu anakopa hivyo kila ukiacha elf 7 basi analipa denj elf 5
Unakuta anakopa vyombo mpaka kabati halitoshi 😂😂
 
Nilishalima ndizi kwa kutegemea usafiri wa kukodi. Nilipata hasara sana.
Kokote kuna changamoto. Kuna watu wanafuata mazao na magari yao yanapata ajali. Kwa kuanza gari ya kusupply huwez jua uchukue ipi kubwa au ndogo. So lazima uangalie upepo wa soko ukoje kwanza. Unless uko na mahela mengi ya kununua gari everytime you need one
 
Endelea mama watoto kula hiyo misumali na wanao .
Mi niko kwa Mwanjaa huko nikiacha hiyo hela nakuta supu ya kuku, na samaki wa kubanikwa na bado ananinunulia boxer.
Kama anatupiga UPATU anajua yeye
 
Endelea mama watoto kula hiyo misumali na wanao .
Mi niko kwa Mwanjaa huko nikiacha hiyo hela nakuta supu ya kuku, na samaki wa kubanikwa na bado ananinunulia boxer.
Kama anatupiga UPATU anajua yeye
Huko hakuna upatu bali mko watatu
 
Ili kukufanya usipate tabu ya kugawa hiyo hela mi nanunua kila kitu kinakua ndan msos wa wiki nzima na naenda kununua mwenyewe kazi yako wewe unaandika Tu unachotaka
Una moyo wa kimaskini sana wewe
 
Sasa ukute kwa mfano ka laki moja kwenye kibubu ilete shida kheeee cha mno???
labda humo ndani kuwe hapajawahi tokea tatzo la kuhitaji pesa

ila kama limewahi tokea tatzo la uhitaji wa pesa,na aliuchuna kama hana

asee hiyo siku patavurugika mbona,yani ile siku nahangaika hela ya mtoto apelekwe hospital

anaona hali ya mtoto mbaya,kaona hadi ilivyobd nikakope kwa majiran (aliona yote hayo)

leo nakuja nakutana na kibubu kina laki na siku zile tulihitaji 50,000 tu ila hakutoa...

asee (simaliziii)
 
CONTROLA,
Mwanamke kuficha pesa wakati wa shida ndo changamoto ata ivo ukikuta kuna mwanamke ana roho ya ivo asee ana roho ya ngumu sana hakutakiwa apewe ata watoto sasa!! Ila vya kibubu mviache vinapunguza kelele kati yako na familia ya mkeo......
 
labda humo ndani kuwe hapajawahi tokea tatzo la kuhitaji pesa

ila kama limewahi tokea tatzo la uhitaji wa pesa,na aliuchuna kama hana

asee hiyo siku patavurugika mbona,yani ile siku nahangaika hela ya mtoto apelekwe hospital

anaona hali ya mtoto mbaya,kaona hadi ilivyobd nikakope kwa majiran (aliona yote hayo)

leo nakuja nakutana na kibubu kina laki na siku zile tulihitaji 50,000 tu ila hakutoa...

asee (simaliziii)
Nitaitoa lakini nitakwambia ni ya mama Ashura amenipa nimshikie hivyo itabidi tuirudishe.
 
Back
Top Bottom