Najua unanipenda sana Shunnie. Ngoja nile kwanza hii nyota tano yetu tutayajenga baadae[emoji7] [emoji7] [emoji6]Huyo mdada ana akili sana ujue umeshaingia mazima anajua gharama zake zote zitarudi mara kumi mkuu mimi nipo uendelee kutuletea episode zinazofuata
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa Ubungo stand ya Mkoa nimekiona kwa Muuza Vitabu. Naskia kizuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu kila lakheriMkuu zigo nimelielewa kinyama..ila kuzama mazima bado
Mzee wa kuazima sufuria moja na kurudisha 2, akikupanga akupige...Nasikia kuna kitabu zamani kilikuwa kinaitwa hadhithi za bonuasi kitu kama hicho!
Ok ngoja nijitahidi kukitumia vizuriMkuu pambana na kibamia chako[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mkuu ata sielewi hasira ziliishaje asee, ata game mtoto yeye ndio alikiwa amepania zaidi yanguwe jamaa wewe! kwa hiyo hukumfumua wala nini mana si kwa mbwembwe zile za jana za kwenda kumbinua binua na kumfinyanga
Hata wenye vibamia Mangi mnajusifu mnazo Kubwa,as long mnasimamisha na kukojoa Huku mmesimama.We mtoto nikikupata hakika utashukur maana dushelele si hizo bamia ulizo zoea[emoji13] [emoji13]
Virungu utasahau kama mwenZIO